Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Revelations never work in scientific world!Idadi ni ndefu sana. Kila aliyejaribu kupambana na Mh Tundu Lissu kwa njia mbali mbali na mbunu kali kali alishindwa.
Huyu Lissu ni mtenda haki, amekuwa siku zote mpigania amani na haki ktk maisha yake yoote.
Mwenyezi Mungu amemjalia baraka hii. Nayo inamlinda.
Sihitaji kutaja list ya walioshindwa dhidi ya Lissu.
Bado tu hamjaelewa?
Hakuna unabii hapa. Ni ukweli tur
Revelations never work in scientific world!
huyo TL , messiah/saviour wa nani?Idadi ni ndefu sana. Kila aliyejaribu kupambana na Mh Tundu Lissu kwa njia mbali mbali na mbunu kali kali alishindwa.
Huyu Lissu ni mtenda haki, amekuwa siku zote mpigania amani na haki ktk maisha yake yoote.
Mwenyezi Mungu amemjalia baraka hii. Nayo inamlinda.
Sihitaji kutaja list ya walioshindwa dhidi ya Lissu.
Bado tu hamjaelewa?
Idadi ni ndefu sana. Kila aliyejaribu kupambana na Mh Tundu Lissu kwa njia mbali mbali na mbunu kali kali alishindwa.
Huyu Lissu ni mtenda haki, amekuwa siku zote mpigania amani na haki ktk maisha yake yoote.
Mwenyezi Mungu amemjalia baraka hii. Nayo inamlinda.
Sihitaji kutaja list ya walioshindwa dhidi ya Lissu.
Bado tu hamjaelewa?
Jitokeze tukupige risasi 17 tuone kama utapona.huyo TL , messiah/saviour wa nani?
Wasichojua ni kwamba Mungu hakumponya Tundu Lissu zile risasi 17 kwa bahati mbaya.
Alijua anakuja kumtumia kweli kuikomboa Tanzania dhidi ya siasa za kitapeli zinazolifanya Taifa kuwa maskini kila kukicha.
Wa Watanzia, Masihi wa Bwanahuyo TL , messiah/saviour wa nani?
Ndo hapo sasa.Alishindwa Mkapa, Jk na jiwe itakua waganga njaa hawa?
Umasikini wa kujitakiaWasichojua ni kwamba Mungu hakumponya Tundu Lissu zile risasi 17 kwa bahati mbaya.
Alijua anakuja kumtumia kweli kuikomboa Tanzania dhidi ya siasa za kitapeli zinazolifanya Taifa kuwa maskini kila kukicha.
Umasikini wa Tanzania ni wa kutengeneza.Umasikini wa kujitakia
Amen.Wasichojua ni kwamba Mungu hakumponya Tundu Lissu zile risasi 17 kwa bahati mbaya.
Alijua anakuja kumtumia kweli kuikomboa Tanzania dhidi ya siasa za kitapeli zinazolifanya Taifa kuwa maskini kila kukicha.
Chama kinajisafisha.....Makapi hayatabaki ndaniYaani saizi adui wa chama ni wanachama wenyewe, ila siasa hivi.....π€
Huyu alikuwa mole wa CCM na system siku nyingi sana. Katumika sana kuwasnitch vijana wa Chadema hadi wakatekwa na kuuwawa.Yaani saizi adui wa chama ni wanachama wenyewe, ila siasa hivi.....π€
π π πHuyu alikuwa mole wa CCM na system siku nyingi sana. Katumika sana kuwasnitch vijana wa Chadema hadi wakatekwa na kuuwawa.
Mke wake tu ni sehemu ya wabunge wa Covid 19
r
Revelations never work in scientific world!
HeheheKawaambie wa Palestine huko gaza haya maneno