Ukisha sema mambo ya Risasi , kutetea watu, mahakamani, kusema ukweli etc eti Mungu yupo naye, basi ni revelations maana hata existence of God kwa mtu ambae ana independent thinking uwepo wake will never be proved!Hakuna unabii hapa. Ni ukweli tu
Hayo mapungufu mnayaona nyie wazee wa siasa za ongeza DauUkisha sema mambo ya Risasi , kutetea watu, mahakamani, kusema ukweli etc eti Mungu yupo naye, basi ni revelations maana hata existence of God kwa mtu ambae ana independent thinking uwepo wake will never be proved!
all in all Lisu is good lakini ana mapungufu makubwa. Huwezi kuyaona as long as uko karibu naye!
That was Powerful πͺπππππππππππππππππππ»ππππ»Jitokeze tukupige risasi 17 tuone kama utapona.
Tunao wapa dhamana wanatumia tabia ya unyumbu wa kisiasa, unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao,(unafiki), a k.a kujizima dataUmasikini wa Tanzania ni wa kutengeneza.
Ukiangalia namna wanavyotumia hela za walipakodi kufund mambo ya kipuuzi kama shughuli za hawa madalali wa kisiasa ili kufanya nchi isipate mabadiliko ya kweli utagundua kuwa CCM ni laana kubwa sana kwa hili Taifa.
Hahahaha, moja tuThat was Powerful πͺπππππππππππππππππππ»ππππ»
Amin aminaBwana Mungu wakweli amtumie Lissu kama lililokusudi lake kwake.Amen
ππΏHahahaha, moja tu