Anayepinga maandamano ya 23/09 anaunga utekaji na mauaji ya raia

Maandamano ya kumlazimisha Samia aachie office ni uhaini, polisi Kwa namna yoyote wasiruhusu hawa wahuni kuingia road, Samia yupo Kwa mujibu wa katiba na ataachia office Kwa mujibu wa katiba na si Kwa maandamano.
Wewe ni mjinga, uliyekosa ufahamu. Hivi Urais wa Samia una thamani kuliko uhai wa watu wanaorekwa na kuuawa? Rais anaweza kupatikana mwingine. Alikuwa Mwalimu Nyerere, Akaja Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Samia, watakuja na wengine wengi, LAKINI uhai unaokatizwa na mashetani yaliyopo ndani ya Serikalini yake, Samia ana uwezo wa kurudisha japo wa mtu mmoja?

Tuna watanzania wengi ambao wana uwezo wa kuwa marais LAKINI hatuna hata mmoja mwenye uwezo wa kurudisha hata uhai wa sisimizi mmoja, ukishapotezwa.
 
  1. Haya ni maandamano kwa minajili ya kutetea haki ya kuishi.
  2. Polisi na vyombo vya dola wametuhumiwa kushiriki utekaji na mauaji ya raia
  3. Serikali imeonesha uzembe mkubwa kulinda maisha ya watanzania
  4. Bunge limegoma kujadili na kuihoji serikali kilio cha wananchi cha utekaji na mauaji ya raia
  5. CHADEMA wameibeba agenda hii kwa niaba ya Watanzaia, wameileta kwetu Watanzania bila kujali itikadi, imani na ukabila.
Je, Wananchi sisi tunakubali haya yaendelee?

Pia soma: Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea

Yeyote anayepinga ama kukwepa haya maandamano, tunamuelewa kwamba anaunga mkono utekaji na mauaji dhidi ya raia.

Samia Must Go
Ukute huyu ndio tank thinker wa task force yao.
Reasoning = -100
 
Namna yoyote ya kupinga maandamano ni kwa kuweka wazi watekaji na wauaji. Kupinga maandamano bila kuwaweka wazi watekaji na wauaji ni kuwaunga mkono. Wananchi lazima wayatetee maisha yao kwa gharama yoyote ili. KIONGOZI ASIYELINDA MAISHA YA WANANCHI WAKE MUST GO!
 
Ninaishauri Serikali kutolea taarifa wale wote waliotekwa na kama ikiwezekana warudishwe uraiani wakiwa hai au wamekufa vinginevyo bado kuna utata.
 
Nikitaka Kua salama kwenye nchi yangu Taratibu zipi nifate??

Since usalama now ni wa kijana na njano tu,..
 
Siungi mkono utekaji/mauaji, na wala siungi mkono maandamano!
Mtazamo wako wa kutuweka kwenye makundi mawili peke yake ni finyu. Usitufanye sote kuwa tunafikiria kama wewe, wengine tunaweza kufikiria nje ya box 📦
7mefanya nini kukomesha ama kuzuia utekaji na mauaji mpaka sasa?

Kama hauungi mkono kutetea HAKI YA KUISHI, bila shaka wewe ni muungaji mkomo wa utekaji na mauaji ya raia.

Wajibika sasa kabla hayajakufika (hata ikiwa labda ni mmoja wao)
 
Maandamano ya kumlazimisha Samia aachie office ni uhaini, polisi Kwa namna yoyote wasiruhusu hawa wahuni kuingia road, Samia yupo Kwa mujibu wa katiba na ataachia office Kwa mujibu wa katiba na si Kwa maandamano.
Muungaji mkono wa utekaji na mauaji ya raia umehesabika
 
  1. Haya ni maandamano kwa minajili ya kutetea haki ya kuishi.
  2. Polisi na vyombo vya dola wametuhumiwa kushiriki utekaji na mauaji ya raia
  3. Serikali imeonesha uzembe mkubwa kulinda maisha ya watanzania
  4. Bunge limegoma kujadili na kuihoji serikali kilio cha wananchi cha utekaji na mauaji ya raia
  5. CHADEMA wameibeba agenda hii kwa niaba ya Watanzaia, wameileta kwetu Watanzania bila kujali itikadi, imani na ukabila.
Je, Wananchi sisi tunakubali haya yaendelee?

Pia soma: Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea

Yeyote anayepinga ama kukwepa haya maandamano, tunamuelewa kwamba anaunga mkono utekaji na mauaji dhidi ya raia.

Samia Must Go
Uoga wa kupigwa risasi,watanzania hatukuzoea!
 
Kweli mbona kutekwa upande mmoja tu ? Kama CDM kwa nini linakuwa jambo ls Taifa ?? Ni siasa??
Ni kwa sababu wewe ni familia ya watekaji na mauaji ya raia ndo maana hoja yako inadharau maisha ya watu kws sababu za kisiasa.

Mtanzania mmoja anapotekwa nyara ama kuuaes inatuhusu kama Taifa. Tena kama vyombo vya ulinzi na usslama vinahusika kwemye hili, hilo ni zaidi ya issue ya kitaifa. Dunia inapaswa kuungana na wsnaopinga dola kuendesha mauaji na kutuma watu wske humu kusema hayo ni mauaji ya kisiasa
 
Nchi hii watawala walishawaona watz 90%ni maskini,wabangaizaji,koo maskini,Hana uhakika na kesho kutwa yake.
Elimu Duni isiyona ushindani kimataifa,inayopelekea anapopata ajira iwe serikalin au seckta binafsi inamlazimu kunyenyekea hata kama bosi wake ni ngumbalo.Maana anategemewa na ndugu zake kibao.Ukimgusia maandamano,anakwambia na familia yangu je.
Anasahau kuwa,maisha Bora,uhuru na kusikilizwa na uwajibikaji ndo msingi wa familia Bora.

Ccm must go
 
Umasikini mbaya sana,afadhali hata ukimwi!
 
Back
Top Bottom