Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila chama cha siasa ni vigumu wananchi kutoa maoni yao yakasikika.Hayatafanyika
Hayataleta manufaa
Watanzania wengi wajinga
Maandamano yalipaswa yasiwe yanahusiana na chama cha siasa
Unakuza mambo.....Mtasema kila kitu hapo.
Majeshi mnayo
Silaha zote mnazo
Sheria mmejitungia.
Mbona mna hofu kubwa na raia wanaotafuta haki yao ya kuishi?
Vioja vya yaitwayo mafuriko ya fikrani......Hauna hoja
Unapambana kuzuia mafuriko kwa mikono
Mbona wamekuwa wakiandamana na hapakuwa na shida? Kwa vile mimi ni mdau wa sheria na haki za binadamu sioni shida hata kidogo watu kuandamana kwa amani. In fact, huwa naona shida wanapozuiwa kinyume cha sheria zinazovyosema.Je, Wananchi sisi tunakubali haya yaendelee?
- Haya ni maandamano kwa minajili ya kutetea haki ya kuishi.
- Polisi na vyombo vya dola wametuhumiwa kushiriki utekaji na mauaji ya raia
- Serikali imeonesha uzembe mkubwa kulinda maisha ya watanzania
- Bunge limegoma kujadili na kuihoji serikali kilio cha wananchi cha utekaji na mauaji ya raia
- CHADEMA wameibeba agenda hii kwa niaba ya Watanzaia, wameileta kwetu Watanzania bila kujali itikadi, imani na ukabila.
Pia soma: Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea
Yeyote anayepinga ama kukwepa haya maandamano, tunamuelewa kwamba anaunga mkono utekaji na mauaji dhidi ya raia.
Samia Must Go
TREASON inanukia ....When we lose fear, they lose their power tukutane tarehe 23 mapema sana. Beba chupa ya maji, kitambaa na filimbi. Imeisha hiyo
Sasa anaung'ang'ania uongozi kwa vitisho; kuteka na kuua raia. Ndilo tegemeo pekee sssa analolitazamia kumvusha 2025.Arudi uraiani ili tumpe Mtanzania mwingine nafasi ya uongozi ws Taifa hili
Nyie ndy wapinga QURUJUAN sasa,Wewe unazo sababu zako nyingine za kuwapa ahueni hao hao watekaji na wauaji. Kila mtu anaibuka na visababu vyake vya uongo na kweli, ali mradi mambo yaendelee kama yalivyo.