luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Kuna form four anaefanya ardhi HQ? ACHA UPANG'ANG'AWe huwezi nituma ndezi wewe,watume hao form 4 felia wa Tabora n lushoto,ukija kwa makonki wa Ardhi University utaliwa hela na kurekodiwa ndezi wewe,unapanic Nini mshamba mmoja [emoji23]
Una thinking capacity ndogo mno wakulazmishe uwe MCHAGA kwa kipi? Kumbe umezaliwa Moshi na mna mji na shamba Sasa mbona mnasema Moshi Hakuna wageni zaid ya wenyeji?Btw nimezaliwa na kukulia Moshi mjini Soweto pale na tuna bonge la mji plus shamba pale,sitishwina ndezi Kama wewe.Afu ni wakuja tu,sikuzote wanajikomba niwe mchaga Kama wait,nawajibu Noh mie mtu wa mbeya baba[emoji120]
Mwanza tunakaribia kuimaliza kwanzia pasians,makoroboi had nje igoma kule tunazd kuhamisha wasukumaArdhi waipate wapi. Ni maskini wa kutupwa hao
Hatujimbia ndio maana huko uchagani mijumba ya kifahari imetamalaki,hiv mtu aliyekimbia kwake atajenga hekalu?Uliza wachaga walojazana kimara,, je wamekimbia nn moshi?
Viwanda,makampuni makubwa mbona wachaga wengi tu wanamiliki Mkuu ?uhaba wa ardhi ulipelekea wachaga wengi kuhama toka kilimanjaro. wakati wa utawala wa mwalimu nyerere kuna wachaga walihamishiwa maeneo ya morogoro na kutokana na uhaba wa ardhi kilimanjaro.
miaka ya 70 na 80 kulitokea changamoto ktk kilimo cha zao la kahawa na hiyo ikasababisha wachaga wengi kukimbilia mijini. jamii ya kwanza kufanya umachinga dar es salaam, kwa mfano, kushona na kupiga rangi viatu, kukaanga chips, na gereji bubu, ni wachaga na hiyo ilikuwa miaka ya 80. ilipofika miaka ya 90 ndipo wakaja wamachinga toka mikoa ya kusini ambao walijishughulisha zaidi na uuzaji wa nguo.
hivi majuzi mbunge wa vunjo dr.kimei aliiomba serikali ifikirie kuwapatia wapigakura wake maeneo ya kulima sehemu mbalimbali za tanzania. sasa inabidi watu wajiulize ni mbunge gani mwingine amewahi kutoa ombi la namna hiyo kwa serikali? mchango huo wa mbunge ni kielelezo cha tatizo kubwa la ardhi na ukosefu wa fursa unaowakabili wananchi wa kilimanjaro.
moshi ingekuwa na fursa mpya kama arusha tusingewaona wachaga wengi maeneo mengine ya tanzania. pia wasingekuwa na tatizo la ardhi wasingetapakaa tanzania nzima. na wasingebahatika kupata elimu wasingehamia maeneo mengine kikazi na kuweza kuziona fursa zilizoko nje ya uchagani.
mwisho, wachaga wanapaswa kuwekeza ktk mji wao wa moshi ambao kwa sasa hivi umedumaa. wako wengi wenye mitaji mikubwa ambao wangeweza kuichangamsha moshi kwa kuwekeza kwenye viwanda. hii habari ya kujisifia kujenga majumba ya kifahari migombani naamini imepitwa na wakati. wachaga wa karne ya 21 wanatakiwa wajisifu kwa kuwekeza ktk viwanda ktk mkoa wa kilimanjaro.
wanatakiwa waige mfano wa reginald mengi kwa kufungua viwanda vikubwa moshi na maeneo mengine ya kilimanjaro. ukiangalia ukwasi walionao, na jinsi walivyowekeza maeneo mengine nchini, utakubaliana na mimi kwamba hawajautendea haki mkoa wao kiuwekezaji.Viwanda,makampuni makubwa mbona wachaga wengi tu wanamiliki Mkuu ?
Hii dhana siiamini, ninachojua ni kwamba Wachaga kwenye biashara wanashirikiana na ku share challenges sanaa. Ni kawaida kuona ukienda dukani kwake kama hana unachotaka hatakwambia hana, utasikia akikujibu utapata bosi wangu subiri chap nikachukue stoo kumbe kaenda kwa mwenzake kuchukua, na ukizubaa kama mwenzie anauza 25,000 ataweka cha juu hapo kidogo. Jioni kwenye vijiwe vyao ni kawaida kuwaona wako pamoja kujadili biashara inaendaje, jinsi ya kupata mzigo kwa pamoja etc. Sasa wewe kama ni mgeni lazima uone shida kupenya kwenye hii network yao. Mfumo huu pia wanao Wahindi, wanashirikiana sanaa kwenye biashara zao.Moshi kugumu kwenye startup kama wewe sio mwenyeji wa kule sababu watu wa kule hawataki wageni watusue kizembe kwenye ardhi yao! Kuhusu kula na kulala hapana ugumu wowote
Exactly [emoji1666][emoji1666]Moshi ni pagumu kuanza biashara. Ila watu wakiisha kufahamu na ukaunda urafiki nao biashara inakuwa ni nzuri. Watu wanajenga mazoea ya kununua kitu kwa fulani. Hivyo mpaka ujenge jina na kuaminika. Na utasikia watu wakimtaja mtu zaidi kuliko jina la biashara yake.
Hivyo kama ndio unaanza inabidi uwe mvumilivu na utoe huduma ya uhakika kufikia kuaminiwa na kutambulika.
Sasa kama unataka kumpa mtu pesa mbuzi kwa nini asikatae? Fanya kama Waarabu au wakongo pale Kariakoo mtu kijumba cha kawaida anapigwa milioni 300 au zaidi ili ajenge gorofa uone kama hatatoa eneo.Moshi kugumu kupata ardhi ya kuwekeza mgeni
Hadi manispaa ya moshi inashindwa kupanuka sababu hiyo
Miji midogo kibao inakua kwa kasi lakini mji wa moshi upo utafikiri umepigwa bomu .Kisa ubahili wa kutoa ardhi kwa wawekezaji wageni wenye pesa wawekeze
Sasa utapenyaje kwenye network yao hio wakati wao hawataki mtu asie wa kwao 😅😅😅? Hio ni mwanzo tu pia ukifungua biashara ikawa inaleta ushindani nao lazma katika vilinge vyao hivyo wakuundie kamati ya kukunyooshaHii dhana siiamini, ninachojua ni kwamba Wachaga kwenye biashara wanashirikiana na ku share challenges sanaa. Ni kawaida kuona ukienda dukani kwake kama hana unachotaka hatakwambia hana, utasikia akikujibu utapata bosi wangu subiri chap nikachukue stoo kumbe kaenda kwa mwenzake kuchukua, na ukizubaa kama mwenzie anauza 25,000 ataweka cha juu hapo kidogo. Jioni kwenye vijiwe vyao ni kawaida kuwaona wako pamoja kujadili biashara inaendaje, jinsi ya kupata mzigo kwa pamoja etc. Sasa wewe kama ni mgeni lazima uone shida kupenya kwenye hii network yao. Mfumo huu pia wanao Wahindi, wanashirikiana sanaa kwenye biashara zao.
Si kweli kila mwaka kuanzia tarehe 15 mpaka 20 Disemba watu huenda makwao kula sikukuu na mwaka mpya, narudia kila mwaka hilo hufanyika, hiyo ni mbali na kuja kwenye misiba ambayo haina ratiba maalum. Hapa Tanzania huu mkoa unaoongoza kwa kukutana na ku connect each other which strengthen family ties, kushauriana, kuwekana sawa, kusaidiana, vikao vya familia & ukoo, watoto na ndugu wapya kujuana etc. Hii ndiyo sababu kubwa ya hawa watu kukataa kuuza ardhi maana ni aibu kwa wenzako ikionekana kwamba eti huna eneo tena baada ya kuliuza.Umeongea point wanarudi kuzika tu tena wakikaa sana siku tatu
Jamani hebu jipeni muda kujifunza na kuelewa mambo, hiyo ardhi tele iko wapi? Hivi unajua ukiondoa mkoa wa Dar wenye kilomita za mraba elfu moja na ushee mkoa unaofuata kwa udogo ni Kilimanjaro (kilomita za mraba elfu kumi na tatu na kidogo) wauze nini sasa??Sasa kwanini wasiwekeze zaidi kwao ambako ardhi iko tele, wanasifika kwa biashara na uwekezaji miji ya watu ilhali miji yao ni halijojo aisee inashangaza sana.
Ardhi Moshi Ni ya Ukoo sio mtu binafsi hata Kama ana hati Ni ya Ukoo hawezi uza nje ya Ukoo au bila ridhaa ya Ukoo mzima .Sasa kama unataka kumpa mtu pesa mbuzi kwa nini asikatae? Fanya kama Waarabu au wakongo pale Kariakoo mtu kijumba cha kawaida anapigwa milioni 300 au zaidi ili ajenge gorofa uone kama hatatoa eneo.
Thamani ya ardhi Moshi ipo juu mtu maskini kama we huwez ku afford ndio maana unaona kugumu,mm nikiuza ekari moja pale rombo nikienda mikoa mingine hiyo hela nanunua hekari 20 na chenji nabaki nayo,hapo ni land value ndio inasumbua wengi Hakuna ugumu wowote mbele ya pesaArdhi Moshi Ni ya Ukoo sio mtu binafsi hata Kama ana hati Ni ya Ukoo hawezi uza nje ya Ukoo au bila ridhaa ya Ukoo mzima .
Ndio maana watu humu tunasema Moshi kugumu
Jidanganye , jiulize kwann wapare wasianzishiwe mada Kama wachaga wanamiliki robo heka ya mchaichai tu?Mtu atakuwa bepari wakati anamiliki robo eka ya mchaichai ? Hauko serius
Kitu ambacho haukijui Kuna wanaklimnjaro wanaweka pesa benki mpka wanasaidia benki mzunguko uwe mzur , mwisho wa sku benki inampa zawadiNyumba ya kulala tu sio Asset ni liability sababu haiingizi hela linatumia hela tu
Hakuna benki itakupa pesa kisa eti una ghorofa la kufikia Christmas Moshi. Hawataki benki kuchukua kama dhamana unless likiwa na wapangaji hapo Sawa lakini ghorofa tu liko migombani Moshi liimekaa kama mtu anajisaidia haja kubwa wima linasubiri tu watu waje msibani na krismasi eti ukopee benki kama dhamana Hakuna
Hajui kitu huyo mcheza ngomaKitu ambacho haukijui Kuna wanaklimnjaro wanaweka pesa benki mpka wanasaidia benki mzunguko uwe mzur , mwisho wa sku benki inampa zawadi