Anayesema Moshi pagumu kwa wageni, ugumu wake ni nini?

Nenda pale kwa Tesha lete hapo bia kreti 10 na soda kreti 6
Kisha pita kwa Mrosso chukua sabuni box 3, halafu wakati unarudi utapita mashine kwa mama Oiso utachukua pumba na mashudu guniΓ  4.
Kwa mazingira hayo unafikiri mgeni utatoboa?
 
Mchagga sio mjinga auze ardhi yake kipuuzi.

Kama yeye kashindwa kuwekeza basi mtoto au mjukuu wake ataikuta awekeze..

Nyie panueni miji yenu wala hakuna taabu
shida inakuja kuwa waliobaki moshi kuna umaskini mkubwa wa kutupwa kule ajira hamna hata ya kuchoma tu mishikaki!! inabidi wakimbie waende mikoa mingine kuajiriwa kazi ya kuchoma mishikaki grocery ya mangi mwenzao ,Na wakishafika mikoa mingine wakajenga vitega uchumi vikubwa mahoteli ya nguvu nk hawarudi tena kuwekeza moshi .Mikodi mikubwa kuanzia ya manispaa inalipwa huko walikowekeza mikoa mingine kwao moshi mgambo wanakuwa kazi kukimbizana na akina mama wauza nyanya na vitunguu vya mafungu na watembeza matunda kuuzia wasafiri stendi kuu koo ya mabasi moshi mjini!!!!

vizaz vingi vimepita tend ni hiyo hiyo.Kwa hiyo unategemea mjukuu aje kuwekeza Moshi mahali ambapo population haiongezeki inapungua siku hadi siku kwa kuhamia mikoa mingine kutafuta riziki?

Trend ya population ya moshi ni exodus sio indus ,WEngi wanatimua sio wanaingia!!! na wakishajijenga hata wakifa watoto na wajukuu watabaki kusimamia vitega uchumi vya wazazi vilivyoko mikoa hiyo waliko wazazi
 
Kutokana na Moshi kutotoa ardhi kwa wawekezaji wageni wenye uwezo ili wapanue ajira sasa hivi Moshi ndio inaongoza kwa kutoa wafanyakazi wengi mabaa maid kwenye baa za watu mikoa mingine Tanzania nzima inasikitisha
 
Hapo tu kwenye population ni uhuni na uongo unaongea..

Tax records Moshi inakusanya zaidi ya jiji la Mwanza. Sasa sijui unaongelea nini hasa..

Alafu unavyosema Moshi hakuna kilichobadilika ni upuuzi na chuki zako kwa watu wa jamii hiyo
 
Umeongea point wanarudi kuzika tu tena wakikaa sana siku tatu
 
Sasa kwanini wasiwekeze zaidi kwao ambako ardhi iko tele, wanasifika kwa biashara na uwekezaji miji ya watu ilhali miji yao ni halijojo aisee inashangaza sana.
 
Kutokana na Moshi kutotoa ardhi kwa wawekezaji wageni wenye uwezo ili wapanue ajira sasa hivi Moshi ndio inaongoza kwa kutoa wafanyakazi wengi mabaa maid kwenye baa za watu mikoa mingine Tanzania nzima inasikitisha
Kwa niamba ya wazee wote wa gambe tunaunga mkono hoja.

....maana huko kwenye mabar ndio nyumbani.
 
Wazee hawataki mji utanuke sababu watakosa pakuzikwa
 
Mkuu kama Moshi kuna umasikini wakutupwa, basi maeneo mengine ya Tz ni fukara kabisa. Bila ushabiki huo umasikini haupo Moshi.

Jambo lingine wachaga hawasahau kwao hata siku moja na kumbuka wamepafanya kwao kuwe nibsehemu yenya makazi ya kuishi, ndio maana wamejenga zaidi makazi kuliko vitu vingine.
 
Hapo tu kwenye population ni uhuni na uongo unaongea..

Tax records Moshi inakusanya zaidi ya jiji la Mwanza. Sasa sijui unaongelea nini hasa..

Alafu unavyosema Moshi hakuna kilichobadilika ni upuuzi na chuki zako kwa watu wa jamii hiyo
Mwamba ametawaliwa na hisia zaidi inasikitisha
 
Nenda pale kwa Tesha lete hapo bia kreti 10 na soda kreti 6
Kisha pita kwa Mrosso chukua sabuni box 3, halafu wakati unarudi utapita mashine kwa mama Oiso utachukua pumba na mashudu guniΓ  4.
Kwa mazingira hayo unafikiri mgeni utatoboa?
Daaaah πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… kuwa mjanja uwazidi lazima utoboe hivi kuna watu wana ubinafsi kama wasukuma, na tumelijua hili baada ya watanzania kufanya makosa, je wanyaki hadi ubinafsi kwenye ngozi wakikutana mwakaleli, mwakipasile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…