Anayesema wanaume wengi hawana nguvu za kiume lazima awe /alikuwa malaya

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
ANAYESEMA MWANAUME HANA NGUVU ZA KIUME LAZIMA AWE/ALIKUWA MALAYA

Kwa Mkono wa, Robert Heriel

Kusema kuna ongezeko la wanaume kukosa nguvu za kiume ni kuutangazia Umma kuwa wewe ni malaya au ulikuwa malaya.

Kusema vijana wa siku hizi hawana nguvu za kiume ni matokeo ya ongezeko la umalaya kwa upande wa wanawake. Ongezeko la upungufu wa nguvu za kiume unalandana sawa sawa na ongezeko la malaya kwenye jamii.

Mwanamke malaya ndiye anayeweza kujua jambo hilo na kulitolea ufafanuzi wa kina. Kwani yeye ndiye amefanya ngono na wanaume kadhaa na kulinganisha nguvu hizo za kiume.

Haiwezekani mwanamke asiyemalaya akaongea masuala ya nguvu za kiume kama hajawahi kuwa malaya. Haiji akilini na watu hatuwezi kumwelewa.

Nguvu lazima zilinganishwe, unaposema fulani ananguvu au hananguvu tayari unawaambia watu kuwa umefanya ulinganisho hata pasipo kutaja upande wa pili.

Unaposema fulani ni mrefu jua umelinganisha hata usipomtaja aliyemfupi.

Kusema vijana wa siku hizi hawana nguvu za kiume ni matokeo ya ongezeko la wanawake malaya ndani ya jamii.

Hakuna mwanamke mwenye akili njema anayejiheshimu anayeweza kuongea mambo haya, hata kama ni malaya kwani kusema hivyo ni kujitangazia kuwa wewe ni malaya au ulikuwa malaya.

Sipingani na kauli za watu wasemao mambo hayo kwani huenda ni kweli kutokana na utafiti walioufanya kupitia kulala na wanaume mbalimbali.

Mwanamke asemaye wanaume hawana nguvu za kiume siku hizi alafu ukawa umemuoa basi kaa ukijua kuwa upo na malaya/alikuwa malaya.
Tena anakusema wewe kuwa huna nguvu za kutosha kumridhisha, maana kama ungekuwa na nguvu za kutosha kumridhisha wala asingesema hayo kwani nguvu za vijana wengine au wanaume wengine zinamhusu nini ikiwa wewe unamtosheleza?

Ndio maana siku zote naungana na wale wazee wangu waliowahi kuniusia kuwa mwanamke mzuri ni yule mwali aliyeolewa akiwa na bikra, ingawaje hakuna Guarantee lakini kuna ahueni kuliko kuoa aliyekinyume na hivyo.

Mwanaume yeyote hawezi kuwa na nguvu ya kiume kwa malaya, hiyo lazima tuiweke akili. Hata utumie madawa utajiharibu bure bado nguvu zako hazitaonekana.

Hata masuala ya vibamia na cucumber ni matokeo ya ongezeko la malaya kwenye jamii. Hakuna kibamii bila malaya.
Ili uwe kibamia yakupasa utembee na uoe mwanamke malaya. Ili mwanamke asione kibamia yampasa asiwe malaya.

Haya mambo yananyamaziwa na kuzungumziwa kwa namna ya kuficha ficha lakini yanaathiri jamii yetu moja kwa moja hasa kwenye ishu ya ndoa.

Makanisa, misikiti, tamaduni na serikali zipo kimya katika ishu hizi.
Hasa ishu ya sheria ipitishwe kuhusu watu kuoa mwanamke akiwa bikra, sheria hii italinda maadili ya ndoa na kuzuia umalaya kwa sehemu kubwa.

Watu wanashauri sijui mitindo ya maisha, sijui vyakula, yote ni sawa lakini hata mule kwa kiwango gani, mfanye mazoezi kwa kiwango gani hakutakuwa na nguvu za kiume kwenye jamii yenye malaya.

Umalaya ukiondolewa au kupunguzwa automatic wanaume watakuwaa na nguvu za kiume, ukiongezeka na tatizo la nguvu za kiume litaongezeka.

Mambo haya naweza kuonekana naongea kama mtu asiyefikiri vizuri lakini huo ndio ukweli dunia ingalipo. Hakuna nguvu za kiumme mbele ya malaya aliyezoea wanaume tofauti tofauti.

Umalaya ni kama madawa ya kulevya,

Nilishawahi kueleza hapa kuwa suala la upungufu wa nguvu za kiume lipo kipropaganda likiwa na agenda zifuatazo;

1.Biashara
Biashara za madawa kuongeza nguvu za kiume na kusisimua misuli kama Enjoy, mundende, vumbi la kongo, musinula mwinula, n.k.

Propaganda ya Vibamia kupondwa, imelenga biashara za Doldo au sex machine. Hivyo lazima ziundwe propaganda, kauli mbiu, misemo ya kuponda Vibamia na kupromoti doldo na sex machine.

2. KUHAMASISHA UMALAYA KWANI BILA UMALAYA BIASHARA YA SEX MACHINE HAITAKUWA NA FAIDA KUBWA.

Umalaya unahamsishwa kwa nyingi ndani ya jamii. Nitaeleza namna mbili kama sio tatu;
1. Propaganda ya maumbile; kuponda vibamia.
Tafiti nyingi za kisayansi zimeshaeleza kuwa size ya uume haimati kwenye suala la kufanya mapenzi, isipokuwa kinachomata ni namna ya uume unavyotumika. Hii inamantiki kwa sehemu kubwa, ingawaje siwezi kataa uzuri wa mwonekano wa kitu kikubwa na kitu kidogo.

Propaganda hii ya kuponda vibamia, imechangia kiasi kikubwa kuongeza wingi wa umalaya ndani ya jamii.
Wapo wanawake huchepuka nje ya ndoa zao, na waulizwapo hutumia sababu hii kusingizia umalaya wao. Unakuta mwanamke anasema, mume wangu ni kibamia ndio maana nachepuka.

Utafiti unaonyesha kuwa wanawake wanaosema hivi wengi wao huchepuka na michepuko yenye uume unaolingana kabisa na uume wa waume zao.

2. PROPAGANDA YA MUDA WA KUFIKA MSHINDO.
Ipo propaganda ya kuhusu muda wa kufika mshindo kwa mwanaume.
Wanapropaganda wenye lengo ovu husema kuwa mwanaume ili afike mshindo yampasa atumia dakika 30 mpaka 45 kwenye mzunguko mmoja. Kinyume na hapo mwanaume atakuwa na upungufu wa nguvu za kiume.

Kijana asikiapo maneno haya huathirika kisaikolojia na kujiona duni awapo mbele za mwanamke kwani kikawaida mwanaume mwenye afya njema anatakiwa afike mshindo kwenye dakika ya 5 - 15 kwenye mzunguko akiwa anachochea moto.

Na hii inategemeana na maumbile ya mwanaume na mfumo wake wa damu na saiolojia/akili alivyoiweka.

Mwanaume anayefika mshindo dakika ya tano kwendelea huyo hana upungufu. Kwani kikawaida mwanamke huanza kupata joto kwenye dakika ya 5-7, na kuanzia muda huo anaweza kufika kileleni lakini haitazidi dakika 15 tena hapo kwa kuchelewa sana au kaunganisha bado la pili na la tatu.

Katika sex, kunakupoteza hisia katikati ya mchezo, wanawake wengi ni rahisi kupoteza hisia, na hii inapelekea joto lao kushuka na maungo yao ya uzazi kupunguza ute ute, kufikia hapa itabidi mwanaume atumie akili zaidi kuliko nguvu.

Mwanaume ambaye yupo chini ya dakika tatu kidogo ndio anapaswa ajichunguze zaidi kwa kusaidiana na mwenza wake. Hata hivyo wapo wanawake nao ambao ndani ya dakika hizo tatu wanakuwa wameshachoka/wamemaliza, hivyo ni ishu ya mazungumzo.

Kwenye tendo la ndoa yapo mambo ya msingi ya kuzingatia;
1. Hisia
Lazima kila mmoja awe na hisia na mwenzake, ili kuondoa hali ya kuachana njiani kwenye mchezo. Mwanamke kama hana hisia na wewe, hata ufanyaje huwezi mfikisha kileleni, kwani mara kwa mara hisia zitakuwa zina logout kabla hajafika mshindo. Hii itamfanya asienjoy hata ungemfanya siku nzima, zaidi sana utamuumiza.

2. Uhuru
Kwenye tendo la ndoa jambo la pili ni uhuru. Mwanamke anaweza kuwa na hisia na wewe lakini asiwe huru na wewe, hii itamfanya joto lake lipande, na sehemu zake za uzazi kulowana lakini asifike mshindo kutokana na kuwa kuna mahali unapomfanya akawa anajisikia vizuri lakini unapagusa kwa udogo na kutoa, sasa anashindwa kukwambia kwani anakuogopa.

Lakini kama angekuwa huru angekuambia hapo hapo, sogeza huku, gusa hapa, endelea polepole, nenda kwa kasi sasa, punguza kidogo. Stop kabisa usichochee huku yeye akikatika kule aonapo panafaa na kumpa raha; Nikumbatie kwa nguvu, miongoni mwa maneno mengine.

Uhuru husababisha mawasiliano, mawasiliano huleta maelewano na kufikishana kwa urahisi

3. SANAA NA UFUNDI.
Baada ya hisia, uhuru kinachofuata ni Sanaa na ufundi. Hata uwe fundi vipi huwezi mfikisha mtu ambaye hana hisia na wewe na asiye na uhuru kwako.

Tunajua kila mtu anamwili wake, na miili yetu inatofautiana, hivyo lazima sanaa na ufundi vizingatie matakwa ya wenzi wetu.

Sio kila style itakayomfurahisha kila mwanamke. Mwanamke huyu anapenda style hii, mwingine anapenda ile, hii ni kutokana na maumbile yao. Wanawake wanene, na wenye mapaja makubwa style zao haziwezi fanana na wanawake wembamba.
Wanawake wenye umri mkubwa style zao haziwezifanana na wadada wa umri wa kati. Hivyo Sanaa na ufundi unaotumika lazima uzingatie haya;

1. Maumbile
2. Umri
3. Hali ya hewa
4. Mtazamo na exposure ya mwenzi wako

Nimetoka kwenye mada kidogo mtanisamehe; lakini nimeeleza haya kuisimamia hoja ya Muda muafaka wa mwanaume kufika mshindo, ambapo wanapropaganda hutaja dakika nyingi kwa lengo la ku-distract akili za wanaume na kujiona duni.
Ili baadaye waje wauze madawa ya kutia ganzi uume, kusisimua uume ili utumie muda mwingi zaidi kumfikisha mwanamke wakati mwanamke ndani ya dakika 7 - 15 lazima awe amefika mshindo kama hisia zake hazija logout.

Nieleze kidogo kuhusu hali ya mwanamke hisia zake Kulogout/kupotea katikati ya tendo.

Mwanamke anaweza kuwa na hamu lakini asiwe na hisia kama ilivyo kwa sisi wanaume. Yaani mwanaume unaweza ukawa na hamu ya kulala na mwanamke ukawa naye ndani lakini hisia zikawa hazipo, yaani uume hautaki kusimama. Hata wanawake nao wapo hivyo hivyo, anaweza akawa na hamu na wewe lakini hisia hana.

Mwanamke akiwa na hisia lazima uke wake uwe na ute ute kama Lubricant ya kutelezesha uume kwenye uke wake. Bila ute ute huu mwanamke ukimuingilia anaumia kama unambaka. Ni vizuri kumuingilia mke wako akiwa na hisia(ute ute ukiwa ukeni).

Hisia za mwanamke zinaweza kupotea/kulogout kwa sababu hizi
1. Kuingiza uume pasipo mawasiliano mazuri naye
Unaingiza uume kwa nguvu hali inayomuumiza, unachochea kwa haraka haraka na kwa nguvu hali inayomuumiza na kumfanya achukie tendo, Kuchochea uume ukeni polepole eneo moja kwa muda mrefu hasa sehemu zisifomtekenya(mfurahisha)
Ni vizuri unapofanya mapenzi hasa mwanzoni kwa mtu mpya ufuate zaidi maelekezo yake. Usijifanye fundi kwenye mwili wa mwanamke mpya, utaumbuka na ufundi wako.
Huwa nashauri mpe uhuru mwenza wako katika kipendele hiki.

2. Style isiyoendana na maumbile yake
Zipo style za wanawake wembamb, wanene, wenye umri waa kati na wenye umri mkubwa.
Usitumia style za mikunjo ya hatari kwa mwanamke mnene, utamuumiza pia hana ubavu wa kuvumilia kukaa hivyo muda mrefu, tena kama hamna mawaasiliano na hana uhuru unaweza kumuumiza mkeo/mwenza wako akashindwa kukwambia. Wewe muda huo unajisifu anavyotoa jasho kumbe mwenzako anajiona yupo jeshini mazoezini au gym la wanamgambo wa Alkaida.
Muulize mwenza wako hasa mkiwa ndio mnaanza mapenzi, ni style gani anaipenda, kisha kwenye hiyo style ndio uonyeshe ufundi wako, ubunifu n.k. Sio umesoma gazeti au mtandaoni style kali ukamleta mkeo ndani, acha uzwazwa.

Baada ya Kufikia hapo, acha nikuache maana wasomaji wangu kwa kupenda makala fupi hamjambo.

Ni yule yule, Taikon kutoka nyota ya Tibeli

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
0693322300
Kwa sasa, Morogoro Mjini
 
AFU UKUTE ANAYETOA KAULI HII NI HUYU MDADA[emoji23][emoji23]
FB_IMG_16154072002423624.jpg
 
jamii ya kitanzania imeporoka kimaadili kwa kiasi kikubwa si wanaume wala wanawake wote hali mbaya....kifupi wenye mamlaka wameshindwa kuishape jamii isiathirike na maendeleo ya dunia....Ulaya na America kwa kiasi kikubwa wameishape jamii iweze kuishi sambamba na kasi ya ulimwengu bila kuathirika.

Tumetoea uhuru sana kwa wasanii wa muziki, filamu kuiharibu jamii kwa aina ya maisha yao kuwa ndio habari kuu kila mahala...umalaya na uchafu wote wa wasanii vinapewa covarage kubwa kwenye mitandano na kuonekana kama sehemu ya maisha ya kawaida...

Leo hii ujinga wa Hamornize, Kajala, Paula, Diamond, Rayvan nk ndio habari kuu kwenye jamii na kutangazwa na social medias kama sehemu ya maisha ya kawaida wakati ni ujinga uliopitiliza..

Mama zetu, Dada zetu wamepokea vibaya suala zima la haki sawa na kuwafanya wawe busy na dunia ili nao wawe na uchumi...hali hii imefanya wengi kukimbia jukumu la msingi la malezi kwa watoto na mwisho wake watoto kulelewa na akina baba au mabibi... Hali hii ya utafutaji wa maisha na hela kwa akina mama kunawafanya wengi kufanya mambo ya ajabu maana wengi wao wanalimitations kwenye huu utafutaji tofauti na wanaume.....( zipo kazi akinamama hawaziwezi na wanaume wanaziweza, hakuna kazi ya mwanamke mwanamume asiiwezi) .

Ni wakati wa jamii kuhimiza sana watu kuoa na kuolewa pia jamii ielimishwe uthamani wa utu na ubinadamu....Jamii ifundishwe kutothamini sana hela na kuweka mbele kuliko maisha na utu..
 
Dah kuna mademu wawili niliwatema kwa nyakati tofauti wakanililia sana niwarudie. Walivyoona imeshindikana kabisa wakanitangaza kibamia!

Sasa nikajiuliza kama inch6+ (yaani nusu ya rula) ni kibamia, je wale wadau wangu wenye inch5 au 4 kabisa, si ndo wakitema wanaitwa vikorosho sasa!
 
Tatizo tunajilinganisha na wacheza ngono wa kwenye pornhub,saikolojia yetu imeathirika sana wale wanaigiza tu ushetani. Ukiachana na wale wenye tatizola kiafyaa au lishe duni

Tendo la ndoa ni tendo la furaha na ibada pia. Ndio maana sisi wakristo tumasema ndoa ni takatifu
Leo ndoa zinavunjika eti sababu haturidhiki sababu tumejawa na tamaa badala ya upendo.
Tuache uzinzi maana ndio chanzo cha mahusiano kuvunjika.
 
Ndio maana tunashauriwa hata kuacha kuangalia picha za ngono,kwani uwezekano wa kulinganisha unachokitizama na huyo ulie naye ni mkubwa sana,na matokeo yake ni kuona kuwa mwenzi wako hana nguvu za kukutosheleza...
 
jamii ya kitanzania imeporoka kimaadili kwa kiasi kikubwa si wanaume wala wanawake wote hali mbaya....kifupi wenye mamlaka wameshindwa kuishape jamii isiathirike na maendeleo ya dunia....Ulaya na America kwa kiasi kikubwa wameishape jamii iweze kuishi sambamba na kasi ya ulimwengu bila kuathirika.

Tumetoea uhuru sana kwa wasanii wa muziki, filamu kuiharibu jamii kwa aina ya maisha yao kuwa ndio habari kuu kila mahala...umalaya na uchafu wote wa wasanii vinapewa covarage kubwa kwenye mitandano na kuonekana kama sehemu ya maisha ya kawaida...

Leo hii ujinga wa Hamornize, Kajala, Paula, Diamond, Rayvan nk ndio habari kuu kwenye jamii na kutangazwa na social medias kama sehemu ya maisha ya kawaida wakati ni ujinga uliopitiliza..

Mama zetu, Dada zetu wamepokea vibaya suala zima la haki sawa na kuwafanya wawe busy na dunia ili nao wawe na uchumi...hali hii imefanya wengi kukimbia jukumu la msingi la malezi kwa watoto na mwisho wake watoto kulelewa na akina baba au mabibi... Hali hii ya utafutaji wa maisha na hela kwa akina mama kunawafanya wengi kufanya mambo ya ajabu maana wengi wao wanalimitations kwenye huu utafutaji tofauti na wanaume.....( zipo kazi akinamama hawaziwezi na wanaume wanaziweza, hakuna kazi ya mwanamke mwanamume asiiwezi) .

Ni wakati wa jamii kuhimiza sana watu kuoa na kuolewa pia jamii ielimishwe uthamani wa utu na ubinadamu....Jamii ifundishwe kutothamini sana hela na kuweka mbele kuliko maisha na utu..
Nilivyokuwa mtoto nikiwa kijijini, nilikuwa naona vijana wa kiume/wanaume wakizamia mijini kutafuta maisha.

Leo hii naona mabinti wengi wakizamia mijini kwa lengo hilo. Matokeo yake wengi wanarudi makwao na mimba ambazo hawajui hata baba ni yupi!
 
Back
Top Bottom