Anayesema wanaume wengi hawana nguvu za kiume lazima awe /alikuwa malaya

Nilivyokuwa mtoto nikiwa kijijini, nilikuwa naona vijana wa kiume/wanaume wakizamia mijini kutafuta maisha.

Leo hii naona mabinti wengi wakizamia mijini kwa lengo hilo. Matokeo yake wengi wanarudi makwao na mimba ambazo hawajui hata baba ni yupi!
Mimi niliwahi kukaa takribani miaka 8 kijiji flani,mabinti waliokimbilia mijini wengi walikuwa wanarudishwa wako hoi kwa VVU,ngono sio kitu cha kuendekeza kabisa,hasara ni kubwa kuliko faida...
 
Mimi niliwahi kukaa takribani miaka 8 kijiji flani,mabinti waliokimbilia mijini wengi walikuwa wanarudishwa wako hoi kwa VVU,ngono sio kitu cha kuendekeza kabisa,hasara ni kubwa kuliko faida...
Haswa! Ni hatari sana. Kwa sasa ndio maana vijijini kuna maambukizi kuliko hata mijini. Binti akishatoka mjini, na siku hizi ARVs zinavyopiga tafu, vijana wote wanajigonga hapo.
 
Duuu hatari,sana,nadhan tusipokuwa makini,tatizo linaweza kuwa kubwa sana kupelekea kuongeza kwa vijana HASI kwy jamii yetu
 

Ukosefu wa maadili unatokana na watu kuacha wajibu wao
 
Tuache uzinzi kweli kabisa
 
Haibadili ukweli lakini, mmekua tia maji tia maji....dakika 2 pyuuuuuu imepata pancha.

Na haibadili ukweli kuwa kama umeyajua haya basi utakuwa kundi la malaya, utafiti huu hufanywa na malaya waliobobea.

Hata andiko langu linajieleza kuwa huenda ni kweli, kwani malaya ni wengi hivyo wamefanya utafiti na kugundua hilo
 
Huu ni ukosefu wa mambo ya kufanya mtu ukiwa na mambo ya kukufanya uwe productive ngono inakuwa ni jambo la mwisho kabisa,

Tunapenda sana ngono kiasi kwamba utakuta more than 300 km's ni mapori tu hayajaendelezwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…