King Rabbit
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 1,145
- 4,293
Jiwe limetupwa gizani! Tutasikia paaah!
Everyday is Saturday............................... 😎
Eti wanasema
1. Hatuna Mapenzi ya dhati
2. Hatuna Pesa.
3. Hatuna nguvu za kiume pia vile vile.
nguvu za kiume ni hela
Wadada wajinga kweli...tumeshawashtukia round 1 hii.Ili wapate kisingizio cha kufanya uhuni
Mzee unaweza ukageuka daraja kama una amini hilo yaani hela inatoka kwako afu inakuja kwa mwamba hapa.nguvu za kiume ni hela
Hilo tendo ndiyo sababu ya kwanza ya kufunga ndoa, na kama hakuna kitu ndoa inavunjwa mchana kweupeTatizo tunajilinganisha na wacheza ngono wa kwenye pornhub,saikolojia yetu imeathirika sana wale wanaigiza tu ushetani. Ukiachana na wale wenye tatizola kiafyaa au lishe duni
Tendo la ndoa ni tendo la furaha na ibada pia. Ndio maana sisi wakristo tumasema ndoa ni takatifu
Leo ndoa zinavunjika eti sababu haturidhiki sababu tumejawa na tamaa badala ya upendo.
Tuache uzinzi maana ndio chanzo cha mahusiano kuvunjika.
Tatizo lipo ila wanajaribu kulipaka mafuta lakini lipo, na anasukumiziwa mzigo mwanamke na kuitwa malaya, ila shida ipo na ipo!Haibadili ukweli lakini, mmekua tia maji tia maji....dakika 2 pyuuuuuu imepata pancha.
Ila tuzunguke turudi nyuma tatizo lipo tena kubwa, shida inakuja watafiti wanashindwa kutafiti chimbuko liwapi zaidi yakufunika funika kwa manyasi na zigo kutupia mwanamke, inapaswa ufumbuzi uanze kwa wanaume wenyewe waulizwe tatizo nini?Mbona jina langu ni halisi mzee, hapa naeleza jambo muhimu sieleze kumsimanga mtu
Ke wajinga san, yani limejivutia dushe bandia/dildo saizi ya inchi 16 ili liridhike ilihali Me wa kawaida huwa na nchi 6-7 tu, kwanini wasiwe na mabwawa kwa staili hiyo?Hapo umewagusa watu hasa wadada wanaopnda tuwe kama wacheza x wakat maumbile yao wanayaharibu wenyew tena anaetaja kbamia unakuta ana tobo kama kapu.
Ngoja wapalestina waje uone watavyokutolea povu hapajamii ya kitanzania imeporoka kimaadili kwa kiasi kikubwa si wanaume wala wanawake wote hali mbaya....kifupi wenye mamlaka wameshindwa kuishape jamii isiathirike na maendeleo ya dunia....Ulaya na America kwa kiasi kikubwa wameishape jamii iweze kuishi sambamba na kasi ya ulimwengu bila kuathirika.
Tumetoea uhuru sana kwa wasanii wa muziki, filamu kuiharibu jamii kwa aina ya maisha yao kuwa ndio habari kuu kila mahala...umalaya na uchafu wote wa wasanii vinapewa covarage kubwa kwenye mitandano na kuonekana kama sehemu ya maisha ya kawaida...
Leo hii ujinga wa Hamornize, Kajala, Paula, Diamond, Rayvan nk ndio habari kuu kwenye jamii na kutangazwa na social medias kama sehemu ya maisha ya kawaida wakati ni ujinga uliopitiliza..
Mama zetu, Dada zetu wamepokea vibaya suala zima la haki sawa na kuwafanya wawe busy na dunia ili nao wawe na uchumi...hali hii imefanya wengi kukimbia jukumu la msingi la malezi kwa watoto na mwisho wake watoto kulelewa na akina baba au mabibi... Hali hii ya utafutaji wa maisha na hela kwa akina mama kunawafanya wengi kufanya mambo ya ajabu maana wengi wao wanalimitations kwenye huu utafutaji tofauti na wanaume.....( zipo kazi akinamama hawaziwezi na wanaume wanaziweza, hakuna kazi ya mwanamke mwanamume asiiwezi) .
Ni wakati wa jamii kuhimiza sana watu kuoa na kuolewa pia jamii ielimishwe uthamani wa utu na ubinadamu....Jamii ifundishwe kutothamini sana hela na kuweka mbele kuliko maisha na utu..
[emoji16][emoji16]Usipomjua huyo na Mia Khalifa hata kule CHAPUTA unakuwa bado hujawa mwanachama kindakindaki.Unamjua huyu ......Huend mbinguni mkuu.....
Hata ule ushetwani wa kwa mpalange/njia ya mataro nao husababishwa na huo huo ujinga wa kuangalia video za xNdio maana tunashauriwa hata kuacha kuangalia picha za ngono,kwani uwezekano wa kulinganisha unachokitizama na huyo ulie naye ni mkubwa sana,na matokeo yake ni kuona kuwa mwenzi wako hana nguvu za kukutosheleza...
za kike ni makalio kwa wale wazee wachuranguvu za kiume ni hela
Huyu dada kama namjua hivi.AFU UKUTE ANAYETOA KAULI HII NI HUYU MDADA[emoji23][emoji23]View attachment 1755314
Vice versa [emoji16][emoji16][emoji16]Nilivyokuwa mtoto nikiwa kijijini, nilikuwa naona vijana wa kiume/wanaume wakizamia mijini kutafuta maisha.
Leo hii naona mabinti wengi wakizamia mijini kwa lengo hilo. Matokeo yake wengi wanarudi makwao na mimba ambazo hawajui hata baba ni yupi!
Mi nilipokuwa nikitafuta mtoto na Ke wangu niliwahi kuchukuliwa vipimo saiz ya uume ikiwa imesimama nikakutwa na urefu wa 6.5nchi.Tatizo lipo ila wanajaribu kulipaka mafuta lakini lipo, na anasukumiziwa mzigo mwanamke na kuitwa malaya, ila shida ipo na ipo!
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app