Anayetaka pesa ya bure aweke bashiri hii mechi ya Yanga kesho.

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Yanga itashinda goli 2 kwa bila na ili upate pesa nyingi bashiri kuwa goli zote zitapatikana kipindi cha kwanza.

Pesa nje nje, wataalamu wa betting mnisaidie , nikibeti kwa kutabiri yanga itashinda goli 2 kipindi cha kwanza na kuweka elfu 10 itazaa sh.ngapi?

Nimeota, na inaenda kuwa kama nilivyoota.

Updates
Samahani, niliamka na mawenge nikashindwa ku present kitu nilichokiona kwa ufasaha maana nilijawa furaha.
Ila yote kwa yote Fainali hii
 
Correct score Hawa kenge apo chini walitoka 0-0 waka niuwa [emoji81][emoji81]
1634403676.jpg
 
Mkuu kama una uhakika atashinda goli mbili weka mzigo wa maana ukiwekawa 1 ml mzigo huu hapo

5455C5C9-7426-4B21-91B6-7FD2D0CF819C.png
 
Kuna kila dalili kwa Yanga kuendelea kuwaziba mdomo wabaya wake hiyo kesho. Ngoja tusubiri tuone.
 
Yanga itashinda goli 2 kwa bila na ili upate pesa nyingi bashiri kuwa goli zote zitapatikana kipindi cha kwanza.
Pesa nje nje, wataalamu wa betting mnisaidie , nikibeti kwa kutabiri yanga itashinda goli 2 kipindi cha kwanza na kuweka elfu 10 itazaa sh.ngapi?
Nimeota, na inaenda kuwa kama nilivyoota.
Naunga mkono hoja
 
Yanga watafungwa goli tatu kama za kwenye ndoa changa
 
Pesa ya bure si umwambie mkeo,bibi yako na majilani pia.
 
Back
Top Bottom