Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
- Thread starter
- #21
Ngoja niunde mkekaHamn pesa ya bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja niunde mkekaHamn pesa ya bure
Yanga sio makolo, mchezo unamalizika ndani ya dakika 90Yanga atatolewa kwa changamoto ya mikwaju ya penalty
Amka utajikojolea, unaota wewe......Yanga itashinda goli 2 kwa bila na ili upate pesa nyingi bashiri kuwa goli zote zitapatikana kipindi cha kwanza.
Pesa nje nje, wataalamu wa betting mnisaidie , nikibeti kwa kutabiri yanga itashinda goli 2 kipindi cha kwanza na kuweka elfu 10 itazaa sh.ngapi?
Nimeota, na inaenda kuwa kama nilivyoota.
Siku nyingine ukiota mechi yoyote ile uni quote,una nguvu flani iliyojificha ndani yakoYanga itashinda goli 2 kwa bila na ili upate pesa nyingi bashiri kuwa goli zote zitapatikana kipindi cha kwanza.
Pesa nje nje, wataalamu wa betting mnisaidie , nikibeti kwa kutabiri yanga itashinda goli 2 kipindi cha kwanza na kuweka elfu 10 itazaa sh.ngapi?
Nimeota, na inaenda kuwa kama nilivyoota.
Oya nimekubali kwamba umezaliwa Ngende,Liwale Lindi.Yanga itashinda goli 2 kwa bila na ili upate pesa nyingi bashiri kuwa goli zote zitapatikana kipindi cha kwanza.
Pesa nje nje, wataalamu wa betting mnisaidie , nikibeti kwa kutabiri yanga itashinda goli 2 kipindi cha kwanza na kuweka elfu 10 itazaa sh.ngapi?
Nimeota, na inaenda kuwa kama nilivyoota.