Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Naunga mkono hojaYanga itashinda goli 2 kwa bila na ili upate pesa nyingi bashiri kuwa goli zote zitapatikana kipindi cha kwanza.
Pesa nje nje, wataalamu wa betting mnisaidie , nikibeti kwa kutabiri yanga itashinda goli 2 kipindi cha kwanza na kuweka elfu 10 itazaa sh.ngapi?
Nimeota, na inaenda kuwa kama nilivyoota.
Kesho watu watarudi wanasonyaWekeni dau, wekeni dau Wananchi mpatwe heart attack mkaungane na Lemutuz.
Uto inatupa pesa sana kwenye betting nyie endeleeni kushindaKuna kila dalili kwa Yanga kuendelea kuwaziba mdomo wabaya wake hiyo kesho. Ngoja tusubiri tuone.
Kesho both team to scoreFT: Marumo Gallants 0 - 1 Young Africans
Kama nawaona yaani.Kesho watu watarudi wanasonya
Yanga watafungwa goli tatu kama za kwenye ndoa changaYanga itashinda goli 2 kwa bila na ili upate pesa nyingi bashiri kuwa goli zote zitapatikana kipindi cha kwanza.
Pesa nje nje, wataalamu wa betting mnisaidie , nikibeti kwa kutabiri yanga itashinda goli 2 kipindi cha kwanza na kuweka elfu 10 itazaa sh.ngapi?
Nimeota, na inaenda kuwa kama nilivyoota.