Anayetaka pesa ya bure aweke bashiri hii mechi ya Yanga kesho.

Amka utajikojolea, unaota wewe......



Hiyo kweli ndoto,hii game ina aggregate ya 4 - 2

So weka over 3.5 utanishukuru
 
WANANCHIIIIIIIIIIOOOOOOOOO. LEO NDIO ILE SIKU AMBAYO WANAYANGA WOTE TUNA BANG NAYO .
YAANI MAKOLO LEO NDIO RASMI WANAGEUZA VYOO MAHALA PAO PA KULILIA.
TUNAENDA KUTINGA FAINALI RASMI KWENYE ARDHI YA UGENINI.
MARK MY WORDS
 
Siku nyingine ukiota mechi yoyote ile uni quote,una nguvu flani iliyojificha ndani yako
 
Oya nimekubali kwamba umezaliwa Ngende,Liwale Lindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…