Jamaa yangu nyuzi zako nyingi huwa unaandika as if binadamu kanyooka kama rula. Ati ukienenda hivi basi kwasababu ni haki au ni sahihi kwa maono yako basi hata yule asie na maono kama yako basi akienenda tofauti kitampata kitu.
Binadamu hubadilika, binadamu huyakubali au kuyakataa mabadiliko, binadamu hushawishiwa kubadilika ama kutobadikika.
Mabadiliko eidha ni sahihi au si sahihi yanaweza kumuathiri au yasimuathiri.