Anayoyafanya Mwamposa kama ni kweli, Watanzania tusipuuze kila kitu

Huwa ni upuuzi mtupu, miujiza IPO, ila sio hiyo ya kimazingaombwe,
Nitakupa mfano,
Nilikuwa, UDsm , naingia mwaka wa tatu, nimetoka likizo,Sina Ada, uongozi wa chuo ukazuia hakuna mwanafunzi kwenda hostel,bila kumaliza Ada, lipa Ada, ndio upewe funguo za chumba, hapo Sina kitu, wazazi choka mbaya, tukakaa mpaka jioni,saa 11,chuo hakitaki kutupa muda tulipe kidogo kidogo, na jatatu yake, mitiani inaanza, nikamuuliza Mungu, inamaana sitaweza kumaliza shahada yangu, nakuwa mhandisi, kama tulivyokubaliana tangu nikiwa la Saba! Ilipofika, saa 12,Dean akaruhusu wanafunzi, waliopo bado adminstrstion waende hostel, Ada watalipa, mwezi ujao! Na mwezi huo, Anko wangu alikuwa anamalizia nyumba yake, akanipa kazi ya kuweka mifumo ya umeme, nikapiga kazi, nikpata ADA! Hiyo ndio muujiza,lazima mwanadsmu ashiriki kwa nguvu zake,sio kukaa na kusubili nyumba na gari,
Mwamposa akiwa Far, kawe, wanaopata miujiza wote ni wa mikoani! Sio wa kitaani, ili, tuthibitishe, akiwa mikoani huko Arusha, wanaofunguliwa ni Wa dar!
 
Daah
 
Kama ni kweli wagonjwa wengi sana wamelazwa Hospitali mbali mbali kwanini asizunguke kote huko kuwatibia!!
 
Wajinga waliwao

Ova
 
Kapime akili
 
Jambo jema...
 
Utapeli mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…