Anayoyafanya Mwamposa kama ni kweli, Watanzania tusipuuze kila kitu

Haya mambo yananikereketa sana mimi mkana dini, lakini nimeshaona nikitumia nguvu zangu kubishana nanyi nitakuwa naenda kinyume na misingi yangu.

Kwanini kitu nisichoamini kinitese, hakinihusu.

Mtajua wenyewe kama mnaona huko kunawasaidia, nendeni.
 
Koboko ya Wachawi alifanya makubwa zaidi ya hayo.

Sasa hivi anajenga Mansion za Kufa Mtu huko Lubumbashi DRC anasema amezimisi sana zile laki tano tano .
😂😂😂
 
Mwanamke mjazito aliyepitiliza muda wa kujifingua, Sasa Leo kapata uchungu na anajifungua.
Kiboko alikuwa anafufua wafu kwenye redio Times Fm.

Nilimfatilia kwa muda wa wiki nzima nikagundua sauti za wale wanaotoa Ushuhuda ni zile zile ila mikoa Tofauti na wanajaribu kuigiza Lafudhi ya watu fulani kwenye mikoa husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…