Wapumbavu mpo wengi sana tanganyika ndiyo maana tuna tawaliwa na raia feki na waarabu na wazanzibar.Niko nafuatilia mkutano wa injili wa mwamposa huko Arusha naona makubwa yanafanyika anavohubiri neno liko sawa
Ana nguvu za Mungu, Muujiza wa kwanza. Mwanamke mjazito aliyepitiliza muda wa kujifingua, Sasa Leo kapata uchungu na anajifungua.
Mkuu wa mkoa ameshawafika mkutanoni. Mahubiri ni mazuri mno
Nitakuwa reporter leo.
WaliwaoWajinga ndio
Watu wangu wanaangamiaNiko nafuatilia mkutano wa injili wa mwamposa huko Arusha naona makubwa yanafanyika anavohubiri neno liko sawa
Ana nguvu za Mungu, Muujiza wa kwanza. Mwanamke mjazito aliyepitiliza muda wa kujifingua, Sasa Leo kapata uchungu na anajifungua.
Mkuu wa mkoa ameshawafika mkutanoni. Mahubiri ni mazuri mno
Nitakuwa reporter leo.
Ndugu nikuhakikishie hakuna maigizo.Aiseee wajinga hawaishi...yaani bado unaamini maigizo ya hao MATAPELI?
Mkuu wa mkoa ameshawafika mkutanoni. Mahubiri ni mazuri mno😂😂😂😂Niko nafuatilia mkutano wa injili wa mwamposa huko Arusha naona makubwa yanafanyika anavohubiri neno liko sawa
Ana nguvu za Mungu, Muujiza wa kwanza. Mwanamke mjazito aliyepitiliza muda wa kujifingua, Sasa Leo kapata uchungu na anajifungua.
Mkuu wa mkoa ameshawafika mkutanoni. Mahubiri ni mazuri mno
Nitakuwa reporter leo.
Niko nafuatilia mkutano wa injili wa mwamposa huko Arusha naona makubwa yanafanyika anavohubiri neno liko sawa
Ana nguvu za Mungu, Muujiza wa kwanza. Mwanamke mjazito aliyepitiliza muda wa kujifingua, Sasa Leo kapata uchungu na anajifungua.
Mkuu wa mkoa ameshawafika mkutanoni. Mahubiri ni mazuri mno
Nitakuwa reporter leo.
Nakuunga mkonoMwamposa na Kiboko ya wachawi hawana tofauti inaonekana kiboko ya wachawi alishindwa kula na CCM
Acha ujinga ndugu, Mwamposa ni Kiboko ya wachawi anayejua Kula na wakubwaNdugu nikuhakikishie hakuna maigizo.
Ni nguvu halisi inafanya kazi.Pengine suala hapa la kujiuliza je ni nguvu za Mungu wa kweli?Shetani ana uwezo kama huo au hata zaidi.Shetani naye huwafanikisha watu wake na wanafiki wanaokataa neno na kumfuata mtu.
Jibu lipo katika maandiko.Mti mwema huzaa matunda mema.Mtawatambua kwa matunda yao.
Binafsi simjui Mwamposa kwa karibu lakini walio karibu yake watashuhudia matunda yake.
Hata hivyo ninaweka wazi tu msimamo wangu kuwa siamini matumizi ya mafuta ,chumvi au hata maji wanayaita living water.Tunaishi kipindi ambacho shetani anavaa ngozi ya kondoo ili kondoo wengi wamfuate.Ukifika wakati awachinje vizuri wakiwa kwenye himaya yake.Huwezi jua huenda hayo mafuta na vitu kama hivyo ndio muhuri wake unapigwa.
Kristo anapungua umaarufu badala yake watu na majina yao na mafuta yao ndio wanaotrend.
Haya mambo si ya kushangaza kuona kiboko ya wachawi na diamond ni washirika.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Natarajia nianzishe la kwangu nitakuwa nikiombea watekaji wasikamatwe na wanaotekwa wapatikane na kurudi kwa ndugu zao.Biashara ya kanisa ni uhakika sana, haina mbambamba.....
Huyu muhubiri watu wanampuuza lkn huyu ni mtumishi wa kweli kabisa wa Mungu,mama yangu sukari imemsumbua sana lkn baada ya kuombewa tu na Mwamposa hakika amepona kabisa sukari hakuna tena
Kwa ukosefu wa maarifa.Watu wangu wanaangamia
KWANINI AKAJIFUNGUE SIKU YA MKUTANO NA SIYO KABLA AU BAADAMwanamke mjamzito anatarajiwa ajifunguwe muda wowote baada ya wiki 38+ ,wakati mwingine anaweza fika wiki 40 na bado hajajifunguwa.hivyo mtu yeyote anawezakumuandaa mama mjamzito wa wiki hizo,na akasema ni miujiza,lakini hakuna miujiza hapo,maana kama hizo wiki zikipita na asijifunguwe madaktari hufanya oparesheni kumsaidia huyo mama,watu waache kuamini kila jambo pasipo uchunguzi.