jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Mimi binafsi napendelea ugali na nyama choma[emoji23][emoji23] Ni tamu balaa wewe je?
Ugali mboga za majani
Dona mlenda wa karanga..sato mkavu..nyama choma bila kusahau mtindi mzitoo.
Halafu nipate bia mbili...haki mtoto wa kike akiitenga mbususu hatulali.
#MaendeleoHayanaChama
Wenyewe wanaitaga uposi[emoji39][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbalaga(ndizi)
Hizi upikwa kwa mchanganyiko wa
[emoji117]nyama&utumbo
[emoji117]nazi&karanga
[emoji117]pilipil ya kunukia na kuwasha kwa mbaaaali
[emoji117]njegere
Then zikiwa kwenye sahani kubwaa zikifuka moshi wenye harufu taamu kwa kusindikizwa na juisi moja saaaafi ya bariiidiiiiiiiiii ama mirinda nyeusi ikikosekana pepsi ya bariiidi[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
Aloo hii kitu ni nomaa mwanamke akipatia kupika hii kitu nitaoa kwa mahali apendayo yeye na chenji abaki nayo[emoji28]
Bila shaka unakitambi kama frijiNguna na samaki niteremshie na valuer.
Haikuhusu we fa.laBila shaka unakitambi kama friji
Ndagha nkamuMbalaga(ndizi)
Hizi upikwa kwa mchanganyiko wa
[emoji117]nyama&utumbo
[emoji117]nazi&karanga
[emoji117]pilipil ya kunukia na kuwasha kwa mbaaaali
[emoji117]njegere
Then zikiwa kwenye sahani kubwaa zikifuka moshi wenye harufu taamu kwa kusindikizwa na juisi moja saaaafi ya bariiidiiiiiiiiii ama mirinda nyeusi ikikosekana pepsi ya bariiidi[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
Aloo hii kitu ni nomaa mwanamke akipatia kupika hii kitu nitaoa kwa mahali apendayo yeye na chenji abaki nayo[emoji28]
Utamu wa ugali dagaa wenye bamia/ ngongwe haukosi kwenye top 5
Wali njegere tu iliyokolea nazi ni vibe toshaWali njegere za nazi na samaki wa kukaanga[emoji39]