Andika hapa ndoto zako za usiku ili kukicha uweze kutafsiriwa

Pole saana mkuu.. Mwenyezi Mungu akupe shufaa... Folk Part II πŸ˜”
 
Kuota unaibiwa halafu ukiamka asubuhi kweli umeibiwa,hiyo maana yake nini![emoji23]

Kuota unakojoa halafu unaamka asubuhi kweli dream came true hii maana yake nini!
 
Niliskia kibonzo... Jamaa anamskiliza Mchungaji kupitia Radio, ilipofika muda wa kupiga simu, Jamaa kapiga simu kisha Kahana sauti km Bint na Jina kataja la kike... Mchungaji kamtabiria atapata Ujauzito soon... Mungu ameskia hitaji lake!
 
Ola hebu nitafsirie hii ndoto kuna mda nilishawahi muota wife na sex nae alafu anatoa madini kwenye haja kubwa kila nikimpelekea moto mfano wa vito vinavong'aa vinamdondoka huko kwenye tigo mpaka leo sjapata jibu nikawa nawaza au kuna mtu anamla tigo huyu msaada mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…