Andika hapa ndoto zako za usiku ili kukicha uweze kutafsiriwa

Andika hapa ndoto zako za usiku ili kukicha uweze kutafsiriwa

Mtaalam Folk Part II , nakusalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nina ndoto nyingi sana nilizoota
1. Niliota nipo maeneo ya soko la samaki la Ferry kona ya kwenda Ikulu nimesimama na mwenzangu akapita Mheshimiwa Jakaya Kikwete raisi mstaafu anaendesha gari Escudo nyekundu akatuita huku anatabasamu Vijana twendeni tukapanda gari tukaondoka. Hii ina maana gani ?

2. Niliota ndoto nyingine kumhusu Msichana fulani ambaye tunatoka Wilaya moja na wote ni kabila moja na tumefanana kwa vitu vingi sana, ikiwemo Siku ya kuzaliwa japo nimempita karibia miaka mitano na miezi mitano na siku kama 9 hivi. Ananipa Sufuria ndogo nyeupe mpya kabisa huku akipiga goti na anatabasamu hii ina maana gani ?. Hizi ndoto kumhusu huyu binti nimeota zaidi ya ndoto saba ambazo ni kama series kabisa 🙂🙂

3. Ndoto nyingine niliota tupo kwenye mazoezi kama ya wale Vijana wa JKT tumesurubika sana, tukawa tumekaa chini tukiwa tumechafuka sana na tumenyoa vipara yaani ni kama mazoezi ya Kijeshi. Sasa akatokea Dada ambaye ni kama Secretary wa Boss akaanza kusema " Mwenye nidhamu na aliyefaulu mafunzo yetu ni ( .....................) Akamtaja jamaa mmoja ambaye ni mshikaji wangu tulisoma wote Shule ya Msingi na Secondary lakini tukaja kutengana baada ya Mimi kuhama ile Shule, Sasa yule Secretary wa Boss alivyomtaja yule Jamaa akatokea Boss akasema hakuna wewe kaa chini , njoo MANYANZA, sasa wakati nainuka nataka kwenda kwa boss huku nakimbia yule jamaa akanishika Tshirt ili nianguke lakini nilimpiga ngumi nzito na akaniachia huku akivuja damu puani na mdomoni, nilivyoinuka nikawa namkimbilia Boss nilipofika kwa Boss akaninyanyua juu huku akinipongeza. Na huyu jamaa ambaye niliyempiga ngumi kafariki mwaka huu kwa ajali ya gari hapa hapa Dar es Salaam na nilikuwa naenda sana kumtembelea na kumsafisha wakati mwingine. Je hii ndoto ina maana gani ?

4. Nimeandika ndoto ya kwanza kumhusu huyo Binti, Kuna siku nilimuota Mama yake Mzazi, wapo kwenye Kibasi kidogo hiace mbuga za Wanyama yeye na Wakina Mama wengine, Kile Ki Hiace kikaharibika ghafla na wale wakina wote wakamkimbia na Yeye akawa anahuzunika na akaonekana kama ana umwa ugonjwa wa tumbo na Mimi nilikuwa juu ya mti nikashuka nikaenda kumpa pole huku nimemshika begani akaanza kutabasamu na furaha ikamrudia tena. Je hii ndoto nayo ina maana gani ?

Zipo ndoto nyingi sana nisaidie maana ya hizo ndoto. Kiimani na Kiuhalisia wa maisha yetu Sisi Binadamu
Ndoto namba 1 kuhusu raisi kikwete

hii ilikuwa ina kuonyesha na kukumbusha kwamba ubinadamu ndo kitu cha msingi zaidi. Hata siku ukiwa na mali nyingi, vyeo vikubwa, ukiwa boss kazini usiwadharau waliochini yako waheshimu tu

Ndoto namba 2 kuhusu binti na sufuria

Kiroho ilikuwa inakuonyesha kwamba upendo au faraja ni kitu cha muhimu sana kwa watu wengine kwa kuwazawadia au kuwapa msaada na unapowasaidia kuwapa msaada uonyeshe furaha sio kuanza kuwasema vibaya au unakunja sura
Chondechonde isikupeleke kwamba ni siku ya harusi unavikwa pete hii itakuwa tafsiri ya kimazingira na sio kiroho

ndoto namba 3 kuhusu jamaa yako aliefariki

kiroho ilikuwa imekuonyesha vitu vi3 1. Nguvu ya kufanya maamuzi 2.haki 3.kila penye kizuri au kibaya pana chuki

1. Nguvu
ili ufanye vitu vyako na viende unahitaji pawa ya hicho kitu husika pawa zenyewe zaweza kua pesa, cheo, elimu n.k ndo maana kwenye ndoto boss wako alifanya maamuzi bila kupingwa

2.haki
umeonyweshwa kwenye ndoto kuwa kwa sasa mambo mengi hayaendi kwa haki kama inavyotakiwa. Ndoto inakufungua ni jinsi gani inabidi upate kitu hata kama si haki yako. Labda kwa kutumia undugu, kujenga urafiki na mwenye sekta husika. Kutumia pesa ila cha msingi upate unachokitaka

3. Chuki

umeonyeshwa kwamba unavopiga hatua moja kwenda nyingine maadui wengi ni watu wako wa karibu hapo unakumbushwa kuwa makini nao na kuishi nao kwa akili


ndoto namba 4 kumhusu mama yake binti

ulikuwa unakumbushwa kwamba sio kwamba rafiki zako ambao unastarehe nao na kura raha nao watakuwa msaada kwenye shida wengi wao huteleza ila wale uliopita nao kwenye magumu na kuwasaidia huwa ni faraja wakati wa shida na kwenye ndoto umeonyeshwa kujali mtu mwenye shida ni jambo jema hata kwa mtu mwingine tofauti na huyo mama yake binti
 
naota navamiwa na watu ila nikijaribu kupika kelele siwezi. Unakuta natamani hata kutahadharisha wengine sauti haitoki kabisa
Unaonyweshwa kwamba sio kila tatizo unalokumbana nalo kimaisha unamueleza kila mtu mengine inabidi kukaa kimya na kuyamaliza mwenyewe bila kuhusisha watu wengine
 
Nahitaji kuwa kuwa mtabiri ndoto mahiri, Niombe kozi gani inayohusiana na hili pale UDSM?
 
Kuota unaibiwa halafu ukiamka asubuhi kweli umeibiwa,hiyo maana yake nini![emoji23]

Kuota unakojoa halafu unaamka asubuhi kweli dream came true hii maana yake nini!
Ndoto ya kuibiwa hayo ni matekelezo na ulikuwa unakumbushwa kabla kwa kuota hiyo ndoto ila wewe ukapuuzia kwa kutokujilinda na ulivyoibiwa, baada ya kuona unapuuza ilibidi ufanywe uthibitisho any way pole usipuuze ndoto

Ndoto ya Kukojoa hii ni ndoto ya mwili hii ndoto hutengenezwa na ratiba yako ya kukojoa kwa mfano ukijizoesha kila ikifika asubuhi unaenda kukojoa itakuwa hivo na usiku hivohivo mwili utafanya shughuri ya kuchuja maji na kujaza kibofu kikituna kinagusa sensor ya mwili inayokuonyeshaga mkojo umekubana hapo wakati upo usingizini sensor inapeleka taarifa kwenye ubongo hapo ushauzoesha ubongo kwamba kila ukihisi taarifa kama hii lazima iachie misuli inayobana mikojo usitoke na mkojo unatoka ndo mana watoto wengi huwa inawatesa kwa sababu yeye kila unachohisi mwilini mwake anakifanya kwa sababu huo muda hana ufahamu kipi ni aibu na kipi sio aibu. Swali je kwanini watu wakikua wanaacha kukojoa kitandani jibu ni kwamba ukikua utaanza kubanwa na mikojo mbele za watu utaogopa kukojoa hapohapo utasubili hadi sehemu ambayo haina watu tayari unafanya zoez la kubana mkojo na kuuzoesha ubongo kwamba sio kila ukisikia hii hali misuli inayozuia mikojo uamuru iachie na mikojo itoke
 
Ola hebu nitafsirie hii ndoto kuna mda nilishawahi muota wife na sex nae alafu anatoa madini kwenye haja kubwa kila nikimpelekea moto mfano wa vito vinavong'aa vinamdondoka huko kwenye tigo mpaka leo sjapata jibu nikawa nawaza au kuna mtu anamla tigo huyu msaada mkuu
Ulikuwa unaonywesha kwamba ukifanya na mkeo au mwanamke yeyote nini madhara yake kufanya mapenzi kinyume na maumbile huko tigo ulichokiona kwenye ndoto kama madini huo ni uchafu bahati mbaya haujaoteshwa kujambajamba ovyo na kunuka uchafu unapewa onyo kiroho kwa mchezo huo usiufanye
 
Back
Top Bottom