Nimeota namuona mwanamke ameshika panga anarizungushaa, nikawa namkwepa lakini baadae nikamshika nikambeba nikampeleka ndani, alikua ni mwanamke mweupe kupita kiasi, nikamvua nguo nikafanya nae mapenzi. But ghafla naona amelaza mtoto pembeni yake, nikamuuliza huyu mtoto wa nani? Akajibu ni mtoto wake. Lakini baada ya kumaliza tendo akawa ametapakaa damu mwili mzima na mm pia nilikua nimetapakaa damu mwili mzima huku nikiwa najifuta zile damu.
Ghafla nikajikuta nipo kwenye bustani za mbogamboga maeneo ambayo nimewahi kuishi zaman sana, nilikua nikitembea katika mboga peku huku nikiwa kama natafuta kitu ambacho sikijui, nikageuka nyuma nikamuona mjomba wangu akinisemesha lakini sikumsikia wala kumuelewa.
Kufika mbele kidogo ghafla nikaanza kuchomwa na miiba miguuni, maumiv yalikua ni real kabisa nikawa nahangaika kujinasua, kwa maana ilikua ile miba iliyokaa kama ndoana, ghafla nikashtuka.
Anaejua maana ake naomba animbie. Natanguliza shukrani.