Andika hapa ndoto zako za usiku ili kukicha uweze kutafsiriwa

Mkuu Folk Part II

Sijui kama ndoto hii imeshaulizwa humu maana naamini ni ndoto ya kawaida kwa watu wengi japo ina version mbalimbali.

Unaota upo shule ya primary/o'level/A'level/chuoni. Vividly kabisa na washikaji. Mara ni siku ya mtihani wenzako wanafanya mtihani wewe mara huna kalamu, mara darasa hulioni au mwalimu anakukatalia kuingia kwenye chumba cha mtihani ali mradi vurugu tupu.

Au ukiingia kwenye chumba cha mtihani unakuta mtihani ni mgumu hatari huwezi hata swali moja wakati wenzio wameanza kumaliza na kukusanya kazi zao wewe bado unahangaika tu.

Na mara nyingi katika ndoto hizi za shule unakuwa unamwota mtu au watu wale wale. Yaani kila ukiota wahusika ni wale wale!

Na hii. Unajaribu kuwahi airport lakini kunakuwa na ishu. Mara passport huioni. Mara mizigo yako ina matatizo au ndege mbovu...ali mradi tu mpaka wengine watasafiri we bado unahangaika.

Asante sana
please akikupa jib nitag hii kitu inanitokea
 
Unamuona kama kuna mtu anakutazama dirishani. Ila huyu mtu hana sura kabisa na amevaa kofia zile za round kama wanazovaa wale cowboys 🤠 Huwa inajirudia mara kwa mara
 
Mkuu Folk Part II

Sijui kama ndoto hii imeshaulizwa humu maana naamini ni ndoto ya kawaida kwa watu wengi japo ina version mbalimbali.

Unaota upo shule ya primary/o'level/A'level/chuoni. Vividly kabisa na washikaji. Mara ni siku ya mtihani wenzako wanafanya mtihani wewe mara huna kalamu, mara darasa hulioni au mwalimu anakukatalia kuingia kwenye chumba cha mtihani ali mradi vurugu tupu.

Au ukiingia kwenye chumba cha mtihani unakuta mtihani ni mgumu hatari huwezi hata swali moja wakati wenzio wameanza kumaliza na kukusanya kazi zao wewe bado unahangaika tu.

Na mara nyingi katika ndoto hizi za shule unakuwa unamwota mtu au watu wale wale. Yaani kila ukiota wahusika ni wale wale!

Na hii. Unajaribu kuwahi airport lakini kunakuwa na ishu. Mara passport huioni. Mara mizigo yako ina matatizo au ndege mbovu...ali mradi tu mpaka wengine watasafiri we bado unahangaika.

Asante sana

Nami huota hivyoo hivyo nawah ndege mara mbovu mara inaniacha
 
Kumbe...basi ndoto zake ni ishara wakati wa bikra kutolewa
Halafu inasemekana eti huwa hawawasahau wanaume waliowatoa bikra (wafungua njia) maana kiroho hao ndiyo hasa walipaswa kuwa waume zao walioandikiwa na Mungu. Na wakati wo wote wakitaka kupasha kiporo wanapasha tu!

Wafungua njia takatifu ielekeayo kisimani kwenye mti wa mema na mabaya. Inasemekana vurugu zote hizi katika mahusiano na ndoa zinatokana na kuvunja kanuni hii takatifu. Mfungua njia takatifu ndiye alipaswa kuwa mmiliki PEKEE NA WA KUDUMU wa njia hiyo!

Lakini sasa njia takatifu iliyoumbwa kwa lengo kuu la "zaeni mkaongezeke mkaijaze dunia" ndiyo imegeuzwa na kuwa starehe namba wani na kitega uchumi kikuu cha watu kuendeshea maisha yao na hata kuwaondoa kutoka katika umasikini wao.

Mungu hajapendezwa na matokeo yake yanaonekana!
 
Umeamua kumwaga ukweli mtupu. So kikubwa tusioe maana tunaoa wake za watu
 
Sasa km imetoka kwa kuendesha baiskeli hapo inakuwaje bro?!! [emoji1787]
 
Umeamua kumwaga ukweli mtupu. So kikubwa tusioe maana tunaoa wake za watu
Mi sijasema hivyo!

Tungebaki kwenye ukweli kwamba unayembikiri ndiye unayemuoa kusingekuwa na mkanganyiko na shida zote tunazozishuhudia hizi katika ndoa na kwingineko. Na sisi wanaume ndiyo wahusika wakuu pia tusijitoe kwenye lawama.

Mtoto wa watu kajitunza mpaka chuo kikuu unambikiri huko huku ukimwaminisha kuwa utamuoa halafu mkimaliza chuo hata miezi mitatu haiishi ushapiga chini umeibua chombo kipya. Huyu MKE WAKO WA KIROHO uliyemfungulia njia takatifu huku unamwachia nani? Unamwacha mtoto wa watu na maumivu makali na wakati huo ushampotezea miaka miwili au mitatu tena katika prime yake akija kushtuka miaka 28 hii hapa inagonga. Tunavyofanya siyo vizuri!

Ndiyo ilikuwa sehemu ya hoja yangu pia japo hata mabinti nao hawawezi kukwepa lawama!
 
Back
Top Bottom