Andika kazi ya mme/mke wako ambayo unataka awe nayo

Andika kazi ya mme/mke wako ambayo unataka awe nayo

Vipi wewe eti, sijaona jibu lako!
Sipo tofauti na wewe ingawa napenda zaidi awe muelewa na mwenye uwezo wa kuchanganua mambo mbali mbali, mwenye uwezo wa kujisimamia ila pia mtulivu asiwe muongeaji sana na akiwa mcheshi itapendeza zaidi.[emoji4][emoji4][emoji4]
NB: Awe mfanyakazi au mfanya biashara.

Sent from my V5_Plus_Lite using JamiiForums mobile app
 
Sijapanda mengine bado dear, ndo najipanga next year feb ama March Mungu akitupea uzima!
Tuombe kheri tumalize vyema siku chache zilizobakia kufunga mwaka, naamini mipango yako itakamilika vyema, ingawa shamba si linatakiwa liandaliwe mapema kabla ya msimu wa kupanda.
 
Tuombe kheri tumalize vyema siku chache zilizobakia kufunga mwaka, naamini mipango yako itakamilika vyema, ingawa shamba si linatakiwa liandaliwe mapema kabla ya msimu wa kupanda.
Mungu ni mwaminifu, atatuvusha salama dear!!
Kuandaa na kupanda miche vyaweza kwenda sambamba tuu, itategemea nafasi yangu toka kwa mkoloni dear
 
Back
Top Bottom