Andika usichokipenda humu JamiiForums

Andika usichokipenda humu JamiiForums

na ukiona salam zimezid saaaan jua huyo ni under 35 !kuwa makini !heehehe !wahenga anakuja pm mara moja moja !anaomba namba kiheshima !unaskia tu calls oh wknd upo wapi! unakunywaga? if yes bas ngoja nikutumie walau kawine ukanywe !hehehe nataman kuwatag hapa !nawapenda mno mno ! mmoja espy anamfaham! raha ya kuwa mhenga !lol
Wahenga wana raha yao kwakweli(ukiondoa wahenga walio na balehe sugu)
 
Kesho asubuhi utamuona anaanza mwanzo ya uzi na asivyopenda kupitwa espy
Na kutopenda kupitwa kwangu koote nimeshindwa kwenda sambamba na nyie. Uzi umesonga sana aisee!! Nipe samari basi.
 
Hivi kwanini hutaki kukubali ni watu tofauti,,ndio maana unazidi kumuudhi putin,,siku ukianikwa shauri lako,,afanye nini uamini ni watu tofauti,,,Mbitiyaza sasa una wivu nimeamini kabisa una wivu mkubwaaa na kuanzia leo
tena ngoja na espy aje ni hiviii
NIMEKUDHARAUUUUUUUUUUUUUUU
Kupitwa kunauma we acha tu!! Natamani kweli kujua nini kinaendelea. Ngoja kwanza niwapikie wanangu.
 
Sipendi Tabia Ya The Bold. Anapigwa ban Anakaa Miezi 3 Akirudi Anasalimia Hadi Leo Yajawahi Kurudi. Nimemzarau Na yeye. Mnisamehe Tuu[emoji28] [emoji28]
 
Mhenga mimi naunganisha doti na akili zangu za u-ti nee jaa

mie ushahidi sina ndo maana nauliza kwamba naniliu haijananili-wa

na wewe mwenyewe pyeee

mxiuuuuuuu!

muhenga gani tena ana maneno machafu khaa

kumbe ndo uko hivyo

woiii

kwendraaa
Wewe ni mukenya?
 
wewe ndio debe tupu na ukoo wenu wooote

Hahahaha

na ukoo tena naona leo umechafukwa kweli kweli

nimekudharau big dada miaka inakimbia hivyo lakini akili inabaki nyuma kama unyayo

haya bana sitaki ban miye maana hawa mods wananiangalia 24/7
 
Back
Top Bottom