Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Na kweli, shule si zimefungua!!bado !huenda leo ana vipindi full
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kweli, shule si zimefungua!!bado !huenda leo ana vipindi full
HahahaahNa kweli, shule si zimefungua!!
Wahenga wana raha yao kwakweli(ukiondoa wahenga walio na balehe sugu)na ukiona salam zimezid saaaan jua huyo ni under 35 !kuwa makini !heehehe !wahenga anakuja pm mara moja moja !anaomba namba kiheshima !unaskia tu calls oh wknd upo wapi! unakunywaga? if yes bas ngoja nikutumie walau kawine ukanywe !hehehe nataman kuwatag hapa !nawapenda mno mno ! mmoja espy anamfaham! raha ya kuwa mhenga !lol
Kupitwa kunauma we acha tu!! Natamani kweli kujua nini kinaendelea. Ngoja kwanza niwapikie wanangu.Hivi kwanini hutaki kukubali ni watu tofauti,,ndio maana unazidi kumuudhi putin,,siku ukianikwa shauri lako,,afanye nini uamini ni watu tofauti,,,Mbitiyaza sasa una wivu nimeamini kabisa una wivu mkubwaaa na kuanzia leo
tena ngoja na espy aje ni hiviii
NIMEKUDHARAUUUUUUUUUUUUUUU
Kumbe we single mom?Kupitwa kunauma we acha tu!! Natamani kweli kujua nini kinaendelea. Ngoja kwanza niwapikie wanangu.
wewe ndio debe tupu na ukoo wenu woootehahaha samahani naomba nikuulize.
eti wewe ni debe tupu?
nimeona mahali nataka nihakikishe
usini-forma gold tafadhali
Ndio mama, na mwingine yuko njiani.Kumbe we single mom?
Nimekudharauuu
Wewe ni mukenya?Mhenga mimi naunganisha doti na akili zangu za u-ti nee jaa
mie ushahidi sina ndo maana nauliza kwamba naniliu haijananili-wa
na wewe mwenyewe pyeee
mxiuuuuuuu!
muhenga gani tena ana maneno machafu khaa
kumbe ndo uko hivyo
woiii
kwendraaa
wewe ndio debe tupu na ukoo wenu wooote