Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
PoleMm sipendi Mijanaume imeoa na ina familia inakuja pm kutongozaaa wanachokitafuta watakipata.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PoleMm sipendi Mijanaume imeoa na ina familia inakuja pm kutongozaaa wanachokitafuta watakipata.
MmmhhSipendi mtu mwanaume halaf anatumia avatar ya kike au mwanaume anatumia i'd ya kiume na kujifanya yeye ni ke ndio nini sasa au unatuonea wivu
AsantePole
Mkuu Mimi Naomba ni dange Kwa grace Mjini Vyuma Vimekaza. Nina Kasura Kazuri Pia Nina Ongea Saut Nzuri. Nisaidie nipate pakushikahuo ndo ukweli ! inakujia akilini mie mdada ninakamata vimia mia nimuombe mtoto wa chuo tea anayetegemea boom?? hivi mpo srious kweli? ni kma leo mie nimuombe mdogo wangu grace pesa yake ya boom !si wehu huo ?
inakera sana ! mtu akipata kiboom anakujia pm anakuuliza afanye nn na nn leo anakuja hapa pua kubwaaa ohhh nyoko nyoko !mcxiewwwww
Umeshawapa?Mm sipendi Mijanaume imeoa na ina familia inakuja pm kutongozaaa wanachokitafuta watakipata.
Kiongozi unajua nini si kwamba ni utani bali ni ukweli uliopo,,unakuta mtu anatatizo anaomba ushauri au msahada ,,unakuta mtu anakua wakwanza kuchangia,,anasema Ngoja waje"" waje akina nani sasa, we umekuja kufanya nini sasa kama hauna chakuchangia..Una utani na @joseevarist ?
Kiukweli hua na boreka sana na hawa watu[emoji23] [emoji23] [emoji23] umeua
huo ndo ukweli ! inakujia akilini mie mdada ninakamata vimia mia nimuombe mtoto wa chuo tea anayetegemea boom?? hivi mpo srious kweli? ni kma leo mie nimuombe mdogo wangu grace pesa yake ya boom !si wehu huo ?
inakera sana ! mtu akipata kiboom anakujia pm anakuuliza afanye nn na nn leo anakuja hapa pua kubwaaa ohhh nyoko nyoko !mcxiewwwww
Aisee we mshari bosi umewapambanisha tena duh !Mimi Simo Bana. Nime koti hyo kitu Hata Sijui Mmeanziana Wapi. Lakini Mkuu Kwanini Usianike Hapa Kila Kitu Hadi Ule Mstari Wetu Uleeeeee..Ulete Bana Waache Kukuzarau Eti Kidenti cha Second Batch Khaa!
NnUmeshawapa?
Hicho ulichosema wanakitafuta
Mkuu Si Unajua Putin Na Trump Ni Maji Na Mafuta Huko Mbele? Hapa Bongo Putin Akizingua Lazima Tum prove Wrong. ILa Putin Wa Hapa Kanigongea Hawa Wadudu Humu Ndani Hadi raha[emoji28] [emoji28] Bado Kuonesha Mstari Wa uzazi tuuAisee we mshari bosi umewapambanisha tena duh !