Andika usichokipenda humu JamiiForums

Andika usichokipenda humu JamiiForums

huo ndo ukweli ! inakujia akilini mie mdada ninakamata vimia mia nimuombe mtoto wa chuo tea anayetegemea boom?? hivi mpo srious kweli? ni kma leo mie nimuombe mdogo wangu grace pesa yake ya boom !si wehu huo ?
inakera sana ! mtu akipata kiboom anakujia pm anakuuliza afanye nn na nn leo anakuja hapa pua kubwaaa ohhh nyoko nyoko !mcxiewwwww
Mkuu Mimi Naomba ni dange Kwa grace Mjini Vyuma Vimekaza. Nina Kasura Kazuri Pia Nina Ongea Saut Nzuri. Nisaidie nipate pakushika
 
Una utani na @joseevarist ?
Kiongozi unajua nini si kwamba ni utani bali ni ukweli uliopo,,unakuta mtu anatatizo anaomba ushauri au msahada ,,unakuta mtu anakua wakwanza kuchangia,,anasema Ngoja waje"" waje akina nani sasa, we umekuja kufanya nini sasa kama hauna chakuchangia..
 
huo ndo ukweli ! inakujia akilini mie mdada ninakamata vimia mia nimuombe mtoto wa chuo tea anayetegemea boom?? hivi mpo srious kweli? ni kma leo mie nimuombe mdogo wangu grace pesa yake ya boom !si wehu huo ?
inakera sana ! mtu akipata kiboom anakujia pm anakuuliza afanye nn na nn leo anakuja hapa pua kubwaaa ohhh nyoko nyoko !mcxiewwwww

naomba tu namba ya huyu Grace awe group member wangu kwenye somo la mwandiko.
 
Mimi Simo Bana. Nime koti hyo kitu Hata Sijui Mmeanziana Wapi. Lakini Mkuu Kwanini Usianike Hapa Kila Kitu Hadi Ule Mstari Wetu Uleeeeee..Ulete Bana Waache Kukuzarau Eti Kidenti cha Second Batch Khaa!
Aisee we mshari bosi umewapambanisha tena duh !
 
Aisee we mshari bosi umewapambanisha tena duh !
Mkuu Si Unajua Putin Na Trump Ni Maji Na Mafuta Huko Mbele? Hapa Bongo Putin Akizingua Lazima Tum prove Wrong. ILa Putin Wa Hapa Kanigongea Hawa Wadudu Humu Ndani Hadi raha[emoji28] [emoji28] Bado Kuonesha Mstari Wa uzazi tuu
 
Back
Top Bottom