Ghayo TheMongo Barbarian
JF-Expert Member
- Oct 27, 2024
- 248
- 501
Umeona watu hawafatilii upumbavu ulioandika unaamua kuwaita. Shame on you
Hao ni wachambuzi wa hayo masuala lazima niwatag , sio wewe TrashbagUmeona watu hawafatilii upumbavu ulioandika unaamua kuwaita. Shame on you
Wewe ndiyo una akili finyuMzuka Wana jamvi.
Bila kupoteza muda naombeni Maarifa na uchumbuzi wa kina juu la andiko hili View attachment 3185805
NB : Lengo la huu Uzi ni kupata Maarifa kama hauna hoja na Maarifa yanayohusiana na Uzi pita kushoto mapema
Ghayo TheMongo Barbarian , hapo nimejitag na Mimi mwenyeweUmeona watu hawafatilii upumbavu ulioandika unaamua kuwaita. Shame on you
Wanadai Yesu ni Mungu anaupendo na huruma , sasa huruma Iko wapi mpaka kwa vitoto vimekosa Nini ?Mungu ni nini? Ni nani?
Sawa ndio maana nimejiita Barbarian like Ghayo .Wewe ndiyo una akili finyu
Yahweh hakushindwa kuwaombea ruhusa waisraeli kwa amaleki wapiteUkatili wa Waamaleki kwa Waisraeli ulianza kwa shambulio la Refidimu (Kutoka 17: 8-13). Hii inaelezewa katika Kumbukumbu la Torati 25: 17-19 na shauri hili: "Kumbuka aliyokufanya Amaleki katika njia mlipokuwa mkitoka Misri;jinsi alivyokukuta katika njia, akapiga katika watu wako walioachwa nyuma, wote waliokuwa wanyonge nyuma yako, ulipokuwa umechoka na kuzimia; wala asimche Mungu. Basi itakuwa, hapo atakapokwisha kukupumzisha Bwana, Mungu wako, katika adui zako wote walio kando-kando, katika nchi akupayo Bwana, Mungu wako, iwe urithi uimiliki, ndipo uufute ukumbuko wa Amaleki chini ya mbingu; usisahau!"
Hizi mada zimekuzidi akili wewe nenda kabeti tu , maana akili zako fupi ndio zinawaza huko tu.Wewe ndiyo una akili finyu
Mambo ya dini bhanaUkatili wa Waamaleki kwa Waisraeli ulianza kwa shambulio la Refidimu (Kutoka 17: 8-13). Hii inaelezewa katika Kumbukumbu la Torati 25: 17-19 na shauri hili: "Kumbuka aliyokufanya Amaleki katika njia mlipokuwa mkitoka Misri;jinsi alivyokukuta katika njia, akapiga katika watu wako walioachwa nyuma, wote waliokuwa wanyonge nyuma yako, ulipokuwa umechoka na kuzimia; wala asimche Mungu. Basi itakuwa, hapo atakapokwisha kukupumzisha Bwana, Mungu wako, katika adui zako wote walio kando-kando, katika nchi akupayo Bwana, Mungu wako, iwe urithi uimiliki, ndipo uufute ukumbuko wa Amaleki chini ya mbingu; usisahau!"
Unajitekenya na kucheka mwenyeweGhayo TheMongo Barbarian , hapo nimejitag na Mimi mwenyewe