Ni hivi...hapa Duniani kuna watu ambao sio wanadamu,nikimaanisha hawana asili ya Mungu ila wanafanana na wanadamu....uzao huu ni matokeo ya wale malaika wa asi walioshuka na kuzini na wanadamu..uzao ukazaliwa ambao vibasaba zao ni vinasoma au vina asili ya ujinini...uzao huu ndio waamori,wahiti,wanefili n.k
Soma utafiti uliofanywa na mwanasayansi David Ick ameelezea vizuri.
Ndio maana Biblia inasema kunawatu wameandikia moto hata kabla ya misingi ya Dunia...
Kuna neno linasema acha magugu yakuwe na ngano.
Ndio maana wana wa Israel walipewa maagizo wawaangamize ile jamii iliyokuwa imekalia ardhi yao,(wanefeli),cha ajabu wakawwaacha watoto kwa uhuruma na ndio inawagharimu mpaka sasa
Huu uzao wenye vinasaba vya ujinini ndio unaoeneza ushoga Duniani,wanatengeneza magonjwa mfanoCovid 19,H.I.V n.k...na wengi ni viongozi wakubwa,watu mashuhuri,matajiri wakubwa n.k,na wanakamata hizi nafasi ili iwe rahisi kusukuma hizi agenda zao.
Just image kama mtu anaweza kumkosa mtoto alafu akaenda kwa mganga akafanyiwa jambo akapata mtoto..wewe unafikiri hiyo jamii itakuwa na asili gani?