Andrew Chenge achukua fomu ya kugombea Uspika. Fahamu kuhusu wasifu wake

Andrew Chenge achukua fomu ya kugombea Uspika. Fahamu kuhusu wasifu wake

Mambo ya vijisenti yamerudi kama mvua ya mafuriko! Sidhani kweli kama hii nchi hata hiyo 2025 itafika kwa mwendo huu.

Usikute zile trilioni 1.3 za Bi Mikopo, Mzee wa Vijisenti angedai ni vipesa tu vya chenji wala havina athari yoyote kwa taifa.
Hizi ni dalili za umasikini uliotopea. Hutaki mtu akuzidi, hutaki kusikia mafanikio ya wenzako. Chuki hizi mnazitumia hadi muwapo makazini na mwisho mnakuwa wafitini.
 
Habari ndio kama mnavyoisikia ndugu zangu, mzee wa vijisenti ambaye inasemekana ana akili nyingi kuliko wagombea wengine wote waliokwishachukua fomu, leo tarehe 12/01/2022 amejitosa kwenye kinyang'anyiro hicho.

View attachment 2078130
Huyu mzee hana hata aibu kabisa au labda ametuona sisi watamzania ni wajinga wa kiwango cha SGR.
 
Back
Top Bottom