Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Very Smart. Hata alivyokatwa jina ubunge akatulia tu.Huyu Babu huyu ana akili nyingi sana.Hata leo alivyohojiwa na waandishi wala hajajitapa kama wengine. Maana wengine wameongea kwa ukiona ni ma speaker tayari.Kuanzia kwa wahusika (characters) wa muvi, wanasiasa hadi watu wa kawaida, napenda Sana watu wanaotumua akili saaana na sio mitulinga (maguvu)! Chenge ni miongoni mwa watu wachache SMART KICHWANI hapa Tanzania...hadi Jiwe alimpita pembeni na kwa tahadhari Sana! Karibu sana Change!