Hizi ni dalili za umasikini uliotopea. Hutaki mtu akuzidi, hutaki kusikia mafanikio ya wenzako. Chuki hizi mnazitumia hadi muwapo makazini na mwisho mnakuwa wafitini.Mambo ya vijisenti yamerudi kama mvua ya mafuriko! Sidhani kweli kama hii nchi hata hiyo 2025 itafika kwa mwendo huu.
Usikute zile trilioni 1.3 za Bi Mikopo, Mzee wa Vijisenti angedai ni vipesa tu vya chenji wala havina athari yoyote kwa taifa.
Mpeleke mahakamani, acheni kuchafua wazazi wa watu.Tunasahau haraka sana. Mtu kama huyu hakutakiwa kuwa uraiani.
Ukipata mtu amekupa sababu ya yy kujiita hivyo nitag mkuuMpaka leo bado huwa najiuliza maana ya kujiita joka la makengeza!
Maana yake nini na joka lenye makengeza linafanya nn
Huyu mzee hana hata aibu kabisa au labda ametuona sisi watamzania ni wajinga wa kiwango cha SGR.Habari ndio kama mnavyoisikia ndugu zangu, mzee wa vijisenti ambaye inasemekana ana akili nyingi kuliko wagombea wengine wote waliokwishachukua fomu, leo tarehe 12/01/2022 amejitosa kwenye kinyang'anyiro hicho.
View attachment 2078130
Ilitegemewa kuwa fisadi atagombea u spika?Ilitegemewa...
Huyu ni zaidi ya fisadi asiye ogopa kushitakiwaMambo ya vijisenti yamerudi kama mvua ya mafuriko! Sidhani kweli kama hii nchi hata hiyo 2025 itafika kwa mwendo huu.
Usikute zile trilioni 1.3 za Bi Mikopo, Mzee wa Vijisenti angedai ni vipesa tu vya chenji wala havina athari yoyote kwa taifa.
Kasoro roho tuChenge ninampenda sana babu yangu. Kila lenye kheri kwake. Smart Babu kuanzia akili mpaka usafi wa mwili.
Gwiji la mafisadi wasiyo ogopa sheria tulizo nazo.Mtemi Chenge
Nais ni jirani Yako bariadMtemi Chenge
Jamaa inaonekana ni bonge la sangomaBasi ukiona hivyo ujue katoka kuoga dawa kwenye Mto Mongo huko Gambosh
Tunatawaliwa na jamii za kichawi.Jamaa inaonekana ni bonge la sangoma