Andrew Chenge achukua fomu ya kugombea Uspika. Fahamu kuhusu wasifu wake

Kuanzia kwa wahusika (characters) wa muvi, wanasiasa hadi watu wa kawaida, napenda Sana watu wanaotumua akili saaana na sio mitulinga (maguvu)! Chenge ni miongoni mwa watu wachache SMART KICHWANI hapa Tanzania...hadi Jiwe alimpita pembeni na kwa tahadhari Sana! Karibu sana Change!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…