Very Smart. Hata alivyokatwa jina ubunge akatulia tu.Huyu Babu huyu ana akili nyingi sana.Hata leo alivyohojiwa na waandishi wala hajajitapa kama wengine. Maana wengine wameongea kwa ukiona ni ma speaker tayari.Kuanzia kwa wahusika (characters) wa muvi, wanasiasa hadi watu wa kawaida, napenda Sana watu wanaotumua akili saaana na sio mitulinga (maguvu)! Chenge ni miongoni mwa watu wachache SMART KICHWANI hapa Tanzania...hadi Jiwe alimpita pembeni na kwa tahadhari Sana! Karibu sana Change!
Kama Lissu alivyo na akili nyingi kuwashinda machadema woteHabari ndio kama mnavyoisikia ndugu zangu, mzee wa vijisenti ambaye inasemekana ana akili nyingi kuliko wagombea wengine wote waliokwishachukua fomu, leo tarehe 12/01/2022 amejitosa kwenye kinyang'anyiro hicho.
View attachment 2078130
Huyu hayupo kwa sababu ya taifa. Huyo anatafuta vyeo sababu ya Ego yake na kujilimbikiza utajiri. Hana uzalendo huyo. Anaiba kwa akili na hakamatiki.
Mara mchawi, mara fisadi, mara jazba, mara ameua wanawake duh!!!Ana jazba uspeeker haumfai
Mzee ana jeuri huyu hatari, naskia ukimfuata ukamletea story za escrow sijui nn anakuambia NIPELEKE MAHAKAMANI sababu anajua kwa degree hizi za TEKU humfanyi lolote...Alishajua kwa hawa wabongo kwenye vidigrii vya UDSM hawamfanyi cheochote!
Chuki ipi sasa hapo wakati yote ni kweliMara mchawi, mara fisadi, mara jazba, mara ameua wanawake duh!!!
Kwei chuki haimuachi mtu salama.
Kusema ni kweli ndio kufanya kuwa kweli?Chuki ipi sasa hapo wakati yote ni kweli
Usisahau yule wa kabarusha seven kichwani, ila record yake bungeni sijui kama ipoBetina nafasi inakuwa finyu baada ya mtemi kuchukuwa fomu
Mkuu ccm wote majizi tuTunasahau haraka sana. Mtu kama huyu hakutakiwa kuwa uraiani.
Hili ndilo joka la makengeza,huwa likinusa tu alufu ya pesa lenyewe linapiga,na kuwekeza huko ma mbeleMambo ya vijisenti yamerudi kama mvua ya mafuriko! Sidhani kweli kama hii nchi hata hiyo 2025 itafika kwa mwendo huu.
Usikute zile trilioni 1.3 za Bi Mikopo, Mzee wa Vijisenti angedai ni vipesa tu vya chenji wala havina athari yoyote kwa taifa.
Na yule ambaye kaburi lake halijulikani je, tunasikia tu Marekani Marekani.Chenge,mramba hawa yafaa wapewe tuzo za upigaji bora wa kodi zetu
Hakuna aibu kwenye uraji.Mzee huyu kwa nini hataki kupumzika? Itakuwa aibu akigaragazwa na kijana kama Tulia kwenye kura huko Bungeni. Au utaratibu ukoje: kamati kuu ya ccm itapeleka jina moja tu huko bungeni kupigiwa kura?
Tena unakuta zile ingredients zote kama Vanilla, Icing sugar n.k lazima zipitie kwake mkemia mkuu wa keki ya taifa azithaminishe…Hawa ndio wanajua maana ya national cake
Joka = Shetani. Shetani mwenye makengeza.Mpaka leo bado huwa najiuliza maana ya kujiita joka la makengeza!
Maana yake nini na joka lenye makengeza linafanya nn
Huyu mzee "nyoka wa makengeza" atulie tena......Habari ndio kama mnavyoisikia ndugu zangu, mzee wa vijisenti ambaye inasemekana ana akili nyingi kuliko wagombea wengine wote waliokwishachukua fomu, leo tarehe 12/01/2022 amejitosa kwenye kinyang'anyiro hicho.
View attachment 2078130
Njaa haina uzee pili hawana ujanja wa kuishi nje ya ajira hata uwape bilioni moja wakajiari.Mzee huyu kwa nini hataki kupumzika? Itakuwa aibu akigaragazwa na kijana kama Tulia kwenye kura huko Bungeni. Au utaratibu ukoje: kamati kuu ya ccm itapeleka jina moja tu huko bungeni kupigiwa kura?
Wewe ulitaka iwe awamu ya ngapi?Kweli hii NI awamu ya 4 part 2