Alisahau viji cent vyake pale,kabla mipango haikukamilika likaingia buldouzer jizi lisilotumia brain akalipisha.Katika vipaumbele vya joka la makengeza-Mzee Chenge fursa kama hizo hawezi achia.Ningeshangaa sana kama asingechukua
Aiseee! But tunafanya juu chini ili asipite wala!Usiyempenda kaja! jasmon.
zaidi ya bil 12 kala Ndugai , Chenge bil 1 nani mwizi ?Aiseee! But tunafanya juu chini ili asipite wala!
Wotezaidi ya bil 12 kala Ndugai , Chenge bil 1 nani mwizi ?
Huyo ndio mwenye kiti chake cha uspika, CCM huyo ndio atawafaa, na kuna kila dalili akapewa hicho kiti mapema kabisa.Habari ndio kama mnavyoisikia ndugu zangu, mzee wa vijisenti ambaye inasemekana ana akili nyingi kuliko wagombea wengine wote waliokwishachukua fomu, leo tarehe 12/01/2022 amejitosa kwenye kinyang'anyiro hicho.
View attachment 2078130
Nadhani ungefanyha juu chini la 7 Z isipite kwa huyo utakuwa unamfitini tu mkuuAiseee! But tunafanya juu chini ili asipite wala!
^Ni fedheha kubwa kudai eti Andrew Chenge kaiba bilioni 1 tu!^~ Anonymouszaidi ya bil 12 kala Ndugai , Chenge bil 1 nani mwizi ?
Cha ajabu kina Msigwa wanampigia debeMtu kama huyu China asingekuwepo
ππππππππππBasi ukiona hivyo ujue katoka kuoga dawa kwenye Mto Mongo huko Gambosh
Ukisikia wanasifia Mama kafungua nchi, unadhani tunasifia nini ..wiziii! Ndio maana tunafurahi mwizi mbobevu awe spika!Ukipita kwenye huu uzi unaweza kudhani kuwa chenge ni shujaa fulan hv kumbe ni mwizi na watu wanamsifia kwa ubobezi wake katika eneo hilo
Sasa najiuliza
HV WATANZANIA TUNAUCHUKIA WIZI KWELI AU TUKIWA TUNALALAMIKA NI KWAMBA TUNAWAONEA WIVU TU WALE WANAOIBA(TUNATAMAN INGEKUWA SISI)??
Tungeona kaburi tu au?Mtu kama huyu China asingekuwepo