Andrew Chenge achukua fomu ya kugombea Uspika. Fahamu kuhusu wasifu wake

Andrew Chenge achukua fomu ya kugombea Uspika. Fahamu kuhusu wasifu wake

Ningeshangaa sana kama asingechukua
Alisahau viji cent vyake pale,kabla mipango haikukamilika likaingia buldouzer jizi lisilotumia brain akalipisha.Katika vipaumbele vya joka la makengeza-Mzee Chenge fursa kama hizo hawezi achia.
Fununu zinasemekana alifuatwa na wajanja ili agombee,wanafahamu kuwa nao watafaidi humo humo.
Uzembe wa Ndugai unaenda kuwagharimu Watanzania pakubwa.It's only a matter of time.
 
***** wallah! Na yule babu wa dijirii tisa kutoka hazina sjuhi akimuona huyu kifaru cha Harmata toka Urus anajiskiaje???!!! Ahahah
 
Habari ndio kama mnavyoisikia ndugu zangu, mzee wa vijisenti ambaye inasemekana ana akili nyingi kuliko wagombea wengine wote waliokwishachukua fomu, leo tarehe 12/01/2022 amejitosa kwenye kinyang'anyiro hicho.

View attachment 2078130
Huyo ndio mwenye kiti chake cha uspika, CCM huyo ndio atawafaa, na kuna kila dalili akapewa hicho kiti mapema kabisa.

"Wacha waseme, CCM ina wenyewe! "🕺🎼🎵🎶
Kapteni John Komba.
 
😁😁😁
16419672341250.jpg
 
Ukipita kwenye huu uzi unaweza kudhani kuwa chenge ni shujaa fulan hv kumbe ni mwizi na watu wanamsifia kwa ubobezi wake katika eneo hilo

Sasa najiuliza

HV WATANZANIA TUNAUCHUKIA WIZI KWELI AU TUKIWA TUNALALAMIKA NI KWAMBA TUNAWAONEA WIVU TU WALE WANAOIBA(TUNATAMAN INGEKUWA SISI)??
Ukisikia wanasifia Mama kafungua nchi, unadhani tunasifia nini ..wiziii! Ndio maana tunafurahi mwizi mbobevu awe spika!
 
Back
Top Bottom