Andrew Chenge afika kwenye Kamati ya Katiba, awataka Wajumbe warudi kwenye Rasimu ya Warioba

Mungu anatusikia maombi yetu.

Mzee WARIOBA arudishwe kwenye Tume ya Katiba na AAPISHWE,

Mukandala arudi darasani afundishe.
Amen
 
Tujadili HOJA na Si PERSONALITIES.

Suala la wizi wa Chenge ni hoja ingine ipewe muda wake.


CHENGE ameshiriki kuandika KATIBA hii iliyopo, Ushauri wake hayupo wa kupinga Kwa HOJA hapa nchini.

Tume ya Mukandala hawapo kisheria maana hawajaapishwa.

Amen.
 
Mlipotaka afungwe jela hamkujua ana mazuri yake?
Ndugu Countrywide kuna wakati wa kuhukumu na kuna wakati wa kusamehe..

Mimi sijui kama (kwa wakati huo) walitaka ahukumiwe...

Lakini haiwezekani wakati wote na siku zote wewe uwe mtu wa kuhukumu na kulaumu tu..

Samehe, songa mbele. Forget about the past kwa manufaa yako na si kwa yule unayedhani ameko au amekukosea..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…