- Thread starter
- #41
Huyo amekimbia, ameshindwa kuthibitisha kuwa Mungu hayupo Kwa kuwa hajamtafuta.
Na hawezi kurudi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo amekimbia, ameshindwa kuthibitisha kuwa Mungu hayupo Kwa kuwa hajamtafuta.
Wapi umethibitisha Mungu yupo?Ni Muhimu athibitishe Mungu hayupo,
Atueleze alimtafuta lini na wapi akamkosa.
Ni sawa tu na pale South Africa, wazungu walipofika pwani ya s.a walisema hawakukuta mtu yeyote pale.
Kiranga athibitishe Mungu hayupo,
Mimi nimethibitisha Mungu yupo!
Wewe unaamini hapakuwa na mtu pale Bondeni zaidi ya ndege pekee?
Umesema siwezi kurudi.Huyo amekimbia, ameshindwa kuthibitisha kuwa Mungu hayupo Kwa kuwa hajamtafuta.
Na hawezi kurudi.
Kurudi ni kuthibitisha Mungu hayupo?Umesema siwezi kurudi.
Nimerudi.
Umedanganya.
Umekubali nimerudi na kwamba uliposema siwezi kurudi ulikosea?Kurudi ni kuthibitisha Mungu hayupo.
Watoto wadogo wanaokufa mapema wana jimilikisha sifa zipi za huyo mungu zinazo pelekea wafe udogoni?Ukitaka maisha marefu duniani, jifunze unyenyekevu na kuepuka kujimilikisha sifa za Mungu.
Wote wamshukuru Mungu Kwa Pumzi ya uhai awapayo Bure.Na mtu maskini, mlemavu, yatima, mgonjwa anapaswa kumshukuru nani kwa hali yake hiyo?
MADA inaeleweka,Watoto wadogo wanaokufa mapema wana jimilikisha sifa zipi za huyo mungu zinazo pelekea wafe udogoni?
Unathibitisha vipi kila aliyeishi maisha marefu alikuwa mnyenyekevu?
Au unaleta speculations zako zisizo na kichwa wala miguu?
Mtu amezaliwa mlemavu, yatima, mgonjwa anapaswa kumshukuru nani katika hali yake hiyo?Wote wamshukuru Mungu Kwa Pumzi ya uhai awapayo Bure.
Je watoto wanaozaliwa na kufa hapo hapo au wanaofia tumboni hawana haki ya uhai?Uhai ni zaidi ya pesa, ndo maana tajiri hawezi kuzuia asife Kwa kutumia pesa.
Baba wa yatima kivipi?Yatima amsgukuru Mungu, Yeye ndiye baba wa yatima,
Huyo Mungu kwa nini akuumbe wewe mtu mzima halafu watu wengine awaumbe walemavu?Mlemavu amshukuru Mungu Kwa kuwa ulemavu ni katika mwili tu, mtu halisi ambaye ni ROHO Hana ulemavu.
Amen
Nakwambia hivi, Huyo Mungu ni Mdhaifu na wala hajielewi.MADA inaeleweka,
Sifa, utukufu na Heshima ni za Mungu,
Na kamwe hagawani utukufu na wanadamu.
Ndugu MPUMBAVU Infropreneur amesema moyoni mwake kuwa hakuna Mungu.( Zaburi 53:1).Mtu amezaliwa mlemavu, yatima, mgonjwa anapaswa kumshukuru nani katika hali yake hiyo?
Acha kupindisha na kukwepesha swali.
Je watoto wanaozaliwa na kufa hapo hapo au wanaofia tumboni hawana haki ya uhai?
Huyo Mungu, Anashindwaje kuwapa uhai hawa watoto?
Huyo Mungu anatoa uhai gani, ilhali kuna maelfu ya watoto wachanga wanaozaliwa wamekufa?
Baba wa yatima kivipi?
Huyo Mungu kwa nini aache watoto wengine wazaliwe na wazazi wawili baba na mama, Halafu aruhusu wengine kuzaliwa yatima?
Huyo Mungu hajui kwamba watoto wachanga wanastahili malezi ya baba na mama ili wakue?
Hivi huyo Mungu anajielewa kweli?
Huyo Mungu kwa nini akuumbe wewe mtu mzima halafu watu wengine awaumbe walemavu?
Kama ulemavu ni katika mwili tu, Kwa nini huyo Mungu haku kuumba wewe mlemavu wa mwili?
Hivi wewe pamoja na huyo Mungu mna Akili kweli?
Chochote chenye Jina kina exist.
Mungu ni Noun, yupo.
Mimi ninaongeaga nae na kusikia sauti yake.
Ndiye huyo akupaye Pumzi Bure Kisha unamkataa!!
Huyo dragon yupo, JOKA lenye kutema moto lipo.View attachment 2931673
Huyo ni Bwana Dragon ana jina sasa ana-exist wapi ? Kama ni kwenye fikra na hadithi basi ni sawa..., Ila tofauti ya huyu Dragon ambaye watu wamekubaliana jinsi alivyo kwenye muumba watu wanatofautiana - Kwahio kwenye premise hio pekee logically haiwezekani akawepo kama wewe, yule na yule mwenye Imani nyingine anavyosema sababu kama kuna majibu tofauti yote hayawezi yakawa sawa...
Ndugu MPUMBAVU Rabbon amesema moyoni mwake kuna Mungu. (Atheist 47:2)Ndugu MPUMBAVU Infropreneur amesema moyoni mwake kuwa hakuna Mungu.( Zaburi 53:1).
Nakwambia hivi wewe pamoja na huyo Mungu wako hamjitambui na wala hamna akili.Ungejua tafsiri ya KIFO na asili ya uhai, ungehoji kama aliye timamu.
Ninyi Atheist ni wapumbavu sawasawa na (Zaburi 53:1)Ndugu MPUMBAVU Rabbon amesema moyoni mwake kuna Mungu. (Atheist 47:2)
Nakwambia hivi wewe pamoja na huyo Mungu wako hamjitambui na wala hamna akili.
Umeishiwa hoja una anza Viroja.
Unaelewa ulichoandika?Mungu yupo ndani ya mtu, ukimsifia mtu umemsifia Mungu. Mungu ni mweza wa yote wala hahitaji sifa za binadamu. Mbele ya Mungu sisi ni vitoto vidogo sana.
Una bwabwaja tu hapa wala huna hoja.Ninyi Atheist ni wapumbavu sawasawa na (Zaburi 53:1)
Na MPUMBAVU kamwe hawezi kuwa Mjinga.
Ungekuwa Mjinga, ungemtafuta Mungu kabla ya kusema hayupo.
Mimi Rabbon Si MPUMBAVU sababu nimemtafuta na kumpata na kuthibitisha Mungu yupo.