Andrew Nyerere: Ukimpa mtoto peremende hakikisha anamsifu na kumshukuru Mungu

Andrew Nyerere: Ukimpa mtoto peremende hakikisha anamsifu na kumshukuru Mungu

Huyo dragon yupo, JOKA lenye kutema moto lipo.

Narudia, Kila chenye Jina kipo.

Kinachoexist Si lazima ukione Kwa macho ya Damu na nyama.

Karibu.
Okay; Jehovah. Allah, Krishna, Aphrodite, Apollo, Ares, Athena, Zeus n.k. Hao wote wana Majina na wote wapo (according to you) sasa huoni kwamba point ya Imani yako kwamba kuna Mungu mmoja ina-contradict kwamba kila chenye jina kipo ?
 
Una bwabwaja tu hapa wala huna hoja.

Huyo Mungu anatafutwa kwani amejificha?
Ungekuwa Mjinga ningekuelewesha.

Lakini Kwakuwa umechaguankuwa MPUMBAVU sawasawa na (Zaburi 53:1)

Si Rahisi kueleweshwa sababu Unadhani unajua Kila kitu ndugu MPUMBAVU Infropreneur
 
Ungekuwa Mjinga ningekuelewesha.

Lakini Kwakuwa umechaguankuwa MPUMBAVU sawasawa na (Zaburi 53:1)

Si Rahisi kueleweshwa sababu Unadhani unajua Kila kitu ndugu MPUMBAVU Infropreneur
Huyo Mungu kama yupo kwa nini atafutwe?

Jibu swali acha viroja wewe!!!
 
Okay; Jehovah. Allah, Krishna, Aphrodite, Apollo, Ares, Athena, Zeus n.k. Hao wote wana Majina na wote wapo (according to you) sasa huoni kwamba point ya Imani yako kwamba kuna Mungu mmoja ina-contradict kwamba kila chenye jina kipo ?
Kuna Mungu Mmoja na miungu mingi.

Mungu huyo mmoja analo Jina,

Na Jina Hilo ndilo tulilopewa WANADAMU litupasalo kuokolewa kwalo.

Na Jina Hilo la Mungu mmoja,

Ni Yesu Kristo/ YESHUA HAMASHIACH.

Amen
 
Huyo Mungu kama yupo kwa nini atafutwe?

Jibu swali acha viroja wewe!!!
Mungu yupo,

Haionekani Kwa vipofu kama wewe,

Ndipo haja ya kumtafuta inainuka lakini kama tu utakubali kuacha upumbavu sawasawa na (Zaburi 53:1)

Ukikubali kuwa Mjinga tutaeleweshana.

Karibu
 
Kuna Mungu Mmoja na miungu mingi.

Mungu huyo mmoja analo Jina,

Na Jina Hilo ndilo tulilopewa WANADAMU litupasalo kuokolewa kwalo.

Na Jina Hilo la Mungu mmoja,

Ni Yesu Kristo/ YESHUA HAMASHIACH.

Amen
Mkuu nitajie jina la Mungu?
 
Mkuu nitajie jina la Mungu?
Miungu wapo wengi, Krishna, Budha, shetani wakiwemo nk nk

Jina la Mungu ni Moja.

Na Jina Hilo ndilo tulilopewa WANADAMU litupasalo kuokolewa kwalo.

Jina Hilo ni Yesu Kristo/ YESHUA HAMASHIACH.

Amen
 
Mungu yupo,

Haionekani Kwa vipofu kama wewe,
Huyo Mungu, Anashindwaje kunifanya nimuone?
Ndipo haja ya kumtafuta inainuka lakini kama tu utakubali kuacha upumbavu sawasawa na (Zaburi 53:1)
Mungu huyo Aliumbaje binadamu wapumbavu wasio kubali kumtafuta?

Mungu huyo Alishindwaje kuumba binadamu wasio wapumbavu watakao mtafuta?
Ukikubali kuwa Mjinga tutaeleweshana.

Karibu
Mungu aliumbaje binadamu wajinga wasio mtafuta?

Ilhali uwezo wa kuumba binadamu wasio wajinga wa kumtafuta anao na alikuwa nao?
 
Miungu wapo wengi, Krishna, Budha, shetani wakiwemo nk nk

Jina la Mungu ni Moja.

Na Jina Hilo ndilo tulilopewa WANADAMU litupasalo kuokolewa kwalo.

Jina Hilo ni Yesu Kristo/ YESHUA HAMASHIACH.

Amen
Kwahiyo yesu ndio mungu?
 
Miungu wapo wengi, Krishna, Budha, shetani wakiwemo nk nk

Jina la Mungu ni Moja.

Na Jina Hilo ndilo tulilopewa WANADAMU litupasalo kuokolewa kwalo.

Jina Hilo ni Yesu Kristo/ YESHUA HAMASHIACH.

Amen
Yesu huyo wa kwenye biblia?
 
Kuna Mungu Mmoja na miungu mingi.

Mungu huyo mmoja analo Jina,

Na Jina Hilo ndilo tulilopewa WANADAMU litupasalo kuokolewa kwalo.

Na Jina Hilo la Mungu mmoja,

Ni Yesu Kristo/ YESHUA HAMASHIACH.

Amen
Kwahio umekuja na shida zako unamuomba Singasinga chakula chako na cha familia yako msife njaa alafu badala ya kumshukuru huyo Singasinga unamshukuru huyu Yeshua wako ? Huoni kwamba utakuwa umekosa fadhila kwa huyu Singasinga, kwa kuanza kumsifia Yeshua wakati Singasinga anajua kwamba msaada huo haujatoka kwa Yeshua ?! Akikwambia unamkebei utajibu nini ?
 
YANI KUFA TU KWA MWANADAM KUNADHIHILISHA MUNGU YUPO KWANGU MIMI KUFA KWETU WANADAM KUNANIFANYA NIAMINI MUNGU YUPO

KAMA TUNGEKUWA TUNAFANYIKA KWA NATURE TU BASI TUNGEKUWA TUNADUM MILELE KAMA MILIMA

INAMAANA HIYO NATURE WANAYOISEMA WANASAYANSI IKAAMUA IIPENDELEE MILIMA TU.
 
Ndiye huyo huyo.

Yesu ndiye aketiye kwenye KITI Cha Enzi Mbinguni hivi tunavyoongea,

Na ndiye ajaye kuuhukumu Ulimwengu juu ya dhambi, hata Waislamu wanalijua Hilo.

Karibu.
Wee miyeyusho Kweli mkuu.

0-12
12-30=18

Alikuwa chimbo akiacha dunia ijiendeshe yenyewe.
 
Wee miyeyusho Kweli mkuu.

0-12
12-30=18

Alikuwa chimbo akiacha dunia ijiendeshe yenyewe.
Ndio Moja ya sifa kuu ya Mungu.

Kuwepo Mahali pote wa wakati mmoja.

Karibu.
 
Back
Top Bottom