Okay; Jehovah. Allah, Krishna, Aphrodite, Apollo, Ares, Athena, Zeus n.k. Hao wote wana Majina na wote wapo (according to you) sasa huoni kwamba point ya Imani yako kwamba kuna Mungu mmoja ina-contradict kwamba kila chenye jina kipo ?Huyo dragon yupo, JOKA lenye kutema moto lipo.
Narudia, Kila chenye Jina kipo.
Kinachoexist Si lazima ukione Kwa macho ya Damu na nyama.
Karibu.
Ungekuwa Mjinga ningekuelewesha.Una bwabwaja tu hapa wala huna hoja.
Huyo Mungu anatafutwa kwani amejificha?
Huyo Mungu kama yupo kwa nini atafutwe?Ungekuwa Mjinga ningekuelewesha.
Lakini Kwakuwa umechaguankuwa MPUMBAVU sawasawa na (Zaburi 53:1)
Si Rahisi kueleweshwa sababu Unadhani unajua Kila kitu ndugu MPUMBAVU Infropreneur
Kuna Mungu Mmoja na miungu mingi.Okay; Jehovah. Allah, Krishna, Aphrodite, Apollo, Ares, Athena, Zeus n.k. Hao wote wana Majina na wote wapo (according to you) sasa huoni kwamba point ya Imani yako kwamba kuna Mungu mmoja ina-contradict kwamba kila chenye jina kipo ?
Mungu yupo,Huyo Mungu kama yupo kwa nini atafutwe?
Jibu swali acha viroja wewe!!!
Kipofu lazima atafute.Huyo Mungu kama yupo kwa nini atafutwe?
Jibu swali acha viroja wewe!!!
Mkuu nitajie jina la Mungu?Kuna Mungu Mmoja na miungu mingi.
Mungu huyo mmoja analo Jina,
Na Jina Hilo ndilo tulilopewa WANADAMU litupasalo kuokolewa kwalo.
Na Jina Hilo la Mungu mmoja,
Ni Yesu Kristo/ YESHUA HAMASHIACH.
Amen
Miungu wapo wengi, Krishna, Budha, shetani wakiwemo nk nkMkuu nitajie jina la Mungu?
Huyo Mungu, Anashindwaje kunifanya nimuone?Mungu yupo,
Haionekani Kwa vipofu kama wewe,
Mungu huyo Aliumbaje binadamu wapumbavu wasio kubali kumtafuta?Ndipo haja ya kumtafuta inainuka lakini kama tu utakubali kuacha upumbavu sawasawa na (Zaburi 53:1)
Mungu aliumbaje binadamu wajinga wasio mtafuta?Ukikubali kuwa Mjinga tutaeleweshana.
Karibu
Kwahiyo yesu ndio mungu?Miungu wapo wengi, Krishna, Budha, shetani wakiwemo nk nk
Jina la Mungu ni Moja.
Na Jina Hilo ndilo tulilopewa WANADAMU litupasalo kuokolewa kwalo.
Jina Hilo ni Yesu Kristo/ YESHUA HAMASHIACH.
Amen
Miungu wako wengi,Kwahiyo yesu ndio mungu?
Yesu huyo wa kwenye biblia?Miungu wapo wengi, Krishna, Budha, shetani wakiwemo nk nk
Jina la Mungu ni Moja.
Na Jina Hilo ndilo tulilopewa WANADAMU litupasalo kuokolewa kwalo.
Jina Hilo ni Yesu Kristo/ YESHUA HAMASHIACH.
Amen
Kwahio umekuja na shida zako unamuomba Singasinga chakula chako na cha familia yako msife njaa alafu badala ya kumshukuru huyo Singasinga unamshukuru huyu Yeshua wako ? Huoni kwamba utakuwa umekosa fadhila kwa huyu Singasinga, kwa kuanza kumsifia Yeshua wakati Singasinga anajua kwamba msaada huo haujatoka kwa Yeshua ?! Akikwambia unamkebei utajibu nini ?Kuna Mungu Mmoja na miungu mingi.
Mungu huyo mmoja analo Jina,
Na Jina Hilo ndilo tulilopewa WANADAMU litupasalo kuokolewa kwalo.
Na Jina Hilo la Mungu mmoja,
Ni Yesu Kristo/ YESHUA HAMASHIACH.
Amen
Ndiye huyo huyo.Yesu huyo wa kwenye biblia?
Wee miyeyusho Kweli mkuu.Ndiye huyo huyo.
Yesu ndiye aketiye kwenye KITI Cha Enzi Mbinguni hivi tunavyoongea,
Na ndiye ajaye kuuhukumu Ulimwengu juu ya dhambi, hata Waislamu wanalijua Hilo.
Karibu.
Ndio Moja ya sifa kuu ya Mungu.Wee miyeyusho Kweli mkuu.
0-12
12-30=18
Alikuwa chimbo akiacha dunia ijiendeshe yenyewe.
Umeelewa lakini hapo au unakaza fuvu tu na huyo Zeus?Ndio Moja ya sifa kuu ya Mungu.
Kuwepo Mahali pote wa wakati mmoja.
Karibu.