ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #421
Wajenge Kwa Bajeti zao mbona Wana Mapato karibu Bilioni 50?Mkuu hizo stendi ni ahadi tu Kila siku lakini utekelezaji unakuwa wa kusua sua, yaani jiji kama Arusha na ile stendi yake ni aibu tupu, serikali iwaonee huruma
Wajenge Kwa Bajeti zao mbona Wana Mapato karibu Bilioni 50?
Siyo kwamba mapato yakikusanywa yanaenda serikali kuu then yenyew ndo inarudisha Kwa halmashauri Kwa ajili ya upangaji wa miradi ya maendeleo?.Wajenge Kwa Bajeti zao mbona Wana Mapato karibu Bilioni 50?
Kila Halmashauri Ina account au bote namba ,kama umekusanya na hujayaweka kwenye Bajeti hiyo ni Mali ya serikali kuu ila kama una Bajeti una requestSiyo kwamba mapato yakikusanywa yanaenda serikali kuu then yenyew ndo inarudisha Kwa halmashauri Kwa ajili ya upangaji wa miradi ya maendeleo?.
Basi tuseme viongozi ndo tatzKila Halmashauri Ina account au bote namba ,kama umekusanya na hujayaweka kwenye Bajeti hiyo ni Mali ya serikali kuu ila kama una Bajeti una request