ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #421
Wajenge Kwa Bajeti zao mbona Wana Mapato karibu Bilioni 50?Mkuu hizo stendi ni ahadi tu Kila siku lakini utekelezaji unakuwa wa kusua sua, yaani jiji kama Arusha na ile stendi yake ni aibu tupu, serikali iwaonee huruma