Anga la Tanzania ya Samia linazidi kufunguka. Bado mikoa 7 tu kupata Uwanja wa Kisasa wa Ndege

Anga la Tanzania ya Samia linazidi kufunguka. Bado mikoa 7 tu kupata Uwanja wa Kisasa wa Ndege

Siyo kwamba mapato yakikusanywa yanaenda serikali kuu then yenyew ndo inarudisha Kwa halmashauri Kwa ajili ya upangaji wa miradi ya maendeleo?.
Kila Halmashauri Ina account au bote namba ,kama umekusanya na hujayaweka kwenye Bajeti hiyo ni Mali ya serikali kuu ila kama una Bajeti una request
 
Back
Top Bottom