Anga la Tanzania ya Samia linazidi kufunguka. Bado mikoa 7 tu kupata Uwanja wa Kisasa wa Ndege

Tuache roho Mbaya kwa Morogoro.Ni uchawi huo..tuache visingizio vya restricted area..ni ujinga wa hali ya Juu.
Dsm kuna Lugalo ambayo ndio base kubwa.Wahuni wakiamu kutia maji hapo usiku moja tu wanamaliza Dar yote..mana Makamanda na wakuu wa meza wengi wapo hapo.

Ni upuuzi sana,eti ukashukue Mikumi mbugani uje mjini..Fungueni Nchi.
 
Aibu Tanga kukosa kiwanja hadi sasa na linaitwa jiji tena lina bandari na viwanda vikubwa
Tanga imeangushwa tu ni uwanja wa zamani ilikua huhitaji kuenda Dar ukitaka kusafiri kwenda majuu, East Africa Airways inakupitia hapa Tanga unaenda kuunganishia Nairobi,
 
Wapeni muongozo
 
Uwanja wa Mwanza tu ume washinda.hizo zita tua popo au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…