Anga la Tanzania ya Samia linazidi kufunguka. Bado mikoa 7 tu kupata Uwanja wa Kisasa wa Ndege

Anga la Tanzania ya Samia linazidi kufunguka. Bado mikoa 7 tu kupata Uwanja wa Kisasa wa Ndege

Tuache roho Mbaya kwa Morogoro.Ni uchawi huo..tuache visingizio vya restricted area..ni ujinga wa hali ya Juu.
Dsm kuna Lugalo ambayo ndio base kubwa.Wahuni wakiamu kutia maji hapo usiku moja tu wanamaliza Dar yote..mana Makamanda na wakuu wa meza wengi wapo hapo.

Ni upuuzi sana,eti ukashukue Mikumi mbugani uje mjini..Fungueni Nchi.
 

Msije kusema ni kazi ya Magufuli 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C6Wj3y6NgX3/?igsh=NnV1NzdydzlkdXB2
-961327942.jpg
-2045660763.jpg
10797534.jpg
 
Aibu Tanga kukosa kiwanja hadi sasa na linaitwa jiji tena lina bandari na viwanda vikubwa
Tanga imeangushwa tu ni uwanja wa zamani ilikua huhitaji kuenda Dar ukitaka kusafiri kwenda majuu, East Africa Airways inakupitia hapa Tanga unaenda kuunganishia Nairobi,
 
Viwanja vyote vinaenda kufa kutokana utendaji na uendeshaji mbovu wa taasisi ya TAA...Taasisi ipo local kama halmashauri serikali inawekeza pesa ndefu ila haina management nzuri kabisa.

Wfanyakzi choka mbaya hawana trainings , mishahara midogo , hawana exposure maana hata trainings za nje hawana...Wengi form four.
Wapeni muongozo
 
Uwanja wa Mwanza tu ume washinda.hizo zita tua popo au
 
Back
Top Bottom