ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #141
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanga imeangushwa tu ni uwanja wa zamani ilikua huhitaji kuenda Dar ukitaka kusafiri kwenda majuu, East Africa Airways inakupitia hapa Tanga unaenda kuunganishia Nairobi,Aibu Tanga kukosa kiwanja hadi sasa na linaitwa jiji tena lina bandari na viwanda vikubwa
Wapeni muongozoViwanja vyote vinaenda kufa kutokana utendaji na uendeshaji mbovu wa taasisi ya TAA...Taasisi ipo local kama halmashauri serikali inawekeza pesa ndefu ila haina management nzuri kabisa.
Wfanyakzi choka mbaya hawana trainings , mishahara midogo , hawana exposure maana hata trainings za nje hawana...Wengi form four.
1982Wewe UWT mara ya mwisho kupanda ndege ilikuwa lini?
Itakuwa ulipanda helicopter, enzi hizo hapakuwa na ndege za maana1982
Ni uwanja wa kiasi Air Tanzania zenu zote zinatua bila tabu, muulize Captain Mazula Alisha teremsha East Africa Airways mara kibao, ya mwisho aliitorosha kupitia tanga kutoka Mombasa shirika lilipo vunjwaHiyo ni airstrip hakuna kitu hapo sawa na Kilwa Airport tuu.
Wajiandae watakuja kupewa Dp airports waziendeshe.Wapeni muongozo