Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Morogoro ndio kuna ngerengere airbase. Ndio hvyo hapawezekani kuwa na usafiri wa ndege za umma.Kumbe ndivyo ilivyo!!!? Kutua na kupaa kwa ndege kubwa kunapendezesha sana mji, kila siku nilikuwa natamani kusikia neema ya Kiwanja cha Kisasa Moro.
Vijiweni mwetu stori zilikuwa ni sababu ya kukosekana kwa abiria(ukaribu na Dar)+milima. Nikajisemea kama ni Milima mbona Nepal kuna viwanja vya ajabu milimani.
kuwa na viwanja vya ndege kila mkoa ni impossible. Na kuna sababu nyingi sana kwanini hili haliwezekani .Dah wamifanikisha hili itakuwa poa sana
Nitaacha kusifia na kufurahia mambo mazuri ya serikali badala yake nitakuwa naponda na kutukana kama Hawa Hapa 👇Acha uchawa mtoto wa kiume utafikiriwa vibaya.
Mama anasambaza Upendo Kila pande ya NchiJengo la abiria la Mwanza airport ni kinyaa hapa ni kama hakuna kiwanja cha hadhi ya jiji hilo. Maamuzi yafanyike.
Naendelea kuwakumbusha kazi nzuri na ya kutukuka inayofanywa na Serikali ya awamu ya 6 Chini ya Mama wa Vitendo Rais Dr Samia.
Serikali ya mama imekamilisha ujenzi wa viwanja kadhaa vya ndege vikiweno vifuatavyo;
Kazi ya ujenzi na ukarabati wa viwanja unaendelea Kwenye Mikoa 11 ambapo zipo katika hatua mbalimbali
- Songwe Airport Mbeya
- Songea Airport Ruvuma
- Chato Airport Geita
- Dodoma Airport
Mikoa ambayo haina Viwanja vya ndege vyenye hadhi ni
- Msalato International Airport-Dodoma
- Arusha Airport
- Moshi Airport
- Mwanza Airport
- Shinyanga Airport
- Sumbawanga Airport
- Musoma Airport
- Mpanda Airport
- Mtwara Airport
- Kigoma Airport
- Iringa Airport
- Tanga Airport
- Mtemere Airport -Nyerere National park
Singida
Manyara
Njombe
Simiyu
Lindi
Songwe
My Take
Namba zinajieleza Kila mtu Morogoro Iko reserved Kwa sababu za kiusalama ingawa Ina uwanja wa Kijeshi.
View: https://twitter.com/RashdaZunde/status/1710214957667602608?t=xy3XFtoUUtAKPSF-2XubRA&s=19
View: https://youtu.be/u-bLUdrHL4U?si=rvm4TONJzXvrazjw
View attachment 2776407View attachment 2776409View attachment 2776410View attachment 2776411View attachment 2776412View attachment 2776413View attachment 2776414

Labda km wewe siyo Mtanganyika ama wewe ni miongoni mwa wasomi wajinga sana ambao kwa sasa ni wadudu wanaopenda kuishi maeneo machafu (chawa).Duu hii inaweza kuwa kamba 😆😆
Kama Mikoa gani? Kutokusifia kwako hakufuti huo ukweliSiwezi sifia wakati mikoa isiyopendwa inaendelea kutengwa.
Shujaa wenu alikula hela,Samia kamwaga pesa ujenzi unaendeleaMwanza airport ujenzi ulishasimama.