Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Kwa kamera hizi, mwisho wa kina Jona au mwisho wa majahili hawa??

Barikiwa sana Steve.
 
Namkumbuka IBRA 87 Alikuwa anaandika na kutuma
Alikuwa hana mda wa kuhariri
 
Kwa sasa riwaya ninayoifuatilia ni hii ya Steve nyingine nimePose kwanza!
 
Lakini keshafariki R.I.P ibra87 m/mungu amuondolee adhabu na awe miongoni mwa wenye kupewa makazi mema peponi,, Amiin!!!
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] Ameni
 
Ndo nimeanza kufatilia isee sitamanu hata kuangalia bongo movie. Big up Steve ndo nipo page ya 32 sijui nitafika??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…