Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

bro wewe nikiboko ur so creative
 
Yaani baada ya miaka kupita hii story nineirudia herufi kwa herufi neno kwa neno mpaka nimeimaliza Tena teve boy!! Big up friend!!
 
Aiseee! Ahsante sana Steve kwa riwaya murua namna hii. Nilianza kusoma kimya kimya katikati ya December hadi leo hii. Hakika imenikeshesha tangu zikiwa zote (Joana na Anga) hadi mwisho. Sijawahijutia muda wangu niliotenga kusoma hadithi hizi japo mostly ni usiku wa manani. Jana nimekalia tangu saa saba usiku hadi alfajiri hii na sasa imeisha najiandaa kwenda kwenye mihangaiko. A well spent night
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…