Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

We koncho we unatutafutia nini kwa "tivee " lkn ?
Mbona mkorofi hivi wewe?

Na hem nijibu kwanza hivi steve ni " ke " au "me" ?

Mpaka useme nidatishwe na sura yake?

Unaenda chaka .....

Tutakosa wote anga ....
Yeye ni 'me' na wewe ni 'ke' au wewe ni 'me' labda mimi ndio sijui
 
Steve you I miss you so much eee fanya daah hii mambo ni [emoji91] [emoji91] [emoji91]
 
Dah ila umu ndan watu mnazngua kinyama
Yaan kila mtu anamuhic mwenzake ni ke[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Mmenikumbushs mbali saan enzi izo ndo nafik Tanzania (daslam) kutoka kwetu Tanganyika vijijin uko ( mbeya ndani ndani)
Sasa kuna bro flan akawa ananambia unajua daslam kuibiwa kaz San alaf especially vituo vya daladala, nikamuuliza kwann?

Akanambia kila abiria anamuona abiria mwenzake ni mwiz so kila MTU anachunga saan

Sasa ii nimeikuta umu kumbe umu wale jamaa kila mmoja anamuona mwenzake -ke- [emoji1] [emoji1] dah mmenuvunja mbavu saan

Kwa iyo mlikua mnaviaziana au co [emoji1] [emoji1] [emoji119] [emoji119] plus lugha soft soft [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji119]
 
Dah[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nyie jamaa wawil mmeniacha hoi kichiz yaan[emoji1] [emoji1]

Apa mama mwenye nyumba kaja kunigongea akijua nati zimeachia[emoji1] [emoji1]
Koncho77 na uyo mwingine cjui mines eye dah[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Salute saaan kwenu

Nimewaandik apo cause cm yangu haiwez kukoti ,cmnajua tena CMU za kuazima huon ata batani ya kukoti IPO wap[emoji1] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]

Ngoja nikachekee na kwenye magrup ya whatapp pia maan dah[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji119]
 
Dah ila umu ndan watu mnazngua kinyama
Yaan kila mtu anamuhic mwenzake ni ke[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Mmenikumbushs mbali saan enzi izo ndo nafik Tanzania (daslam) kutoka kwetu Tanganyika vijijin uko ( mbeya ndani ndani)
Sasa kuna bro flan akawa ananambia unajua daslam kuibiwa kaz San alaf especially vituo vya daladala, nikamuuliza kwann?

Akanambia kila abiria anamuona abiria mwenzake ni mwiz so kila MTU anachunga saan

Sasa ii nimeikuta umu kumbe umu wale jamaa kila mmoja anamuona mwenzake -ke- [emoji1] [emoji1] dah mmenuvunja mbavu saan

Kwa iyo mlikua mnaviaziana au co [emoji1] [emoji1] [emoji119] [emoji119] plus lugha soft soft [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji119]
Aaah...tutafanyaje mkuu ndo kupatwa kwa jinsia huko....ila bado sijapata uhakika kama best yangu koncho niaje....japo niliona sehemu anaitwa" eti" shemela "eti "...na kwa wewe pia ni yale yale hatukujui kama ni .....au .....
[emoji2] [emoji3] [emoji1]
 
Mine eyes mbona mim nakojoa nimecmama mkuu,[emoji1] [emoji1] [emoji16] alaf kweny picha ni mim na mwanangu[emoji1] [emoji1]
-me-
 
Back
Top Bottom